Mabinti wa kibongo mjitafakari....

Haina mantiki yoyote, suala la kuoa ni mpango wa mtu. Na hakuna ulazima kuoa nchini kwako.

Kuna watu wangu wa karibu kama 6 wameolewa UK, US na baadhi nchi za Afrika. Nasi wanaume basi tujifakari.
 
Usitutishe hata Mange kimambi , Lucy komba na wengine wengi wameolewa na wadhungu

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Upuuzi mtupu nyumbani kwetu napozaliwa 30% ya wanawake wameolewa nje ya tz, je wa tz wanaume hampo?

Kisa hutwo tu celebrity tunne Msituchoshe!
Tz hii wanawake wanaolewa nje ni wengi sana tofauti ni moja tu hawajitangazi.
 
Usitutishe hata Mange kimambi , Lucy komba na wengine wengi wameolewa na wadhungu

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

kumbe nae mage kimambi kaolewa basi hiii thread nimeanza kuielewa nini inamaanishaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nilikua naskiliza XXL
jana,kuna dem analalamika
kabisa ka panic
kwann vidume tunaoa
Nje ya nchi
tunawaacha uku Fiade
wanadoda!!
Nilinung'unika sana,
Me nawapenda kinyama
madem wa kibongo,
kwanza wazuri kuliko
hao wa nje(In ROMA'S Voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…