Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

Wapi nimeandika najipa umuhimu
Ukishaanza kupanga watu waoe vipi, hawa sijui wanafanywa sana vyuoni, ushajipa umuhimu katika maisha ya watu baki wasiokuhusu.

Watu wameamua kuishi hivyo. Hawajavunja sheria. Hawajakupunguzia kitu.Hiyo ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu. Watu hawa hawakuhusu. Unajipa umuhimu usio nao katika maisha yao.

Huelewi wapi?
 
Binti kutoka na bikra chuoni sio mchezo huyo apewe tuzo kabsa,,kule kuna kila aina ya ushawishi demu kutoboa ngumu. Nakumbuka nilivyombikiri certificate ana miaka 16 tu bdo wamoto tu afu anakwambia nlipanga nkifika chuo mahusiano ntaanza nkifka bachelor na atakaenibikir nd atanioa hahaha,,mpaka leo hajui niliko hahaha.
 
Pole!
 
Hapana ila mimi pia nina dada na pia M/Mungu atanijalia watoto wa kike huko baadae.

#Chizi anachekesha kama sio ndugu yako vile vile mwanamke anayevaa na kutembeza kitumbua hovyo anafurahisha kama sio mama yako wala dada yako.
Sijuagi kwanini mnapenda sana hii mentality, nilikua naona km vile una hoja, ila hapa nadiriki kusema acha kujipa umuhimu ktk maisha ya watu.

Mama, dada, ndugu zako wa kike, kaa nao huko kwenu na uwaambie hayo uyatakayo, ili waya epuke.

Sio unakuja hapa kutoa hizi njegeka zako? Nani hajui hilo? Au wee ndo wa kwanza kupita huko chuoni? Na uta paacha pia,

Sorry km nimekukwaza, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujanikwaza ila nimekupuuza
 
Mkuu hapo mwanaume ana kosa gani wakati anatumia pesa yake kumhudumia huyo mwanamke?
 
Nimekuuliza tena wapi nimejipa umuhimu? Au kiranga kama jina lako mkuu?
 
Hapana ila mimi pia nina dada na pia M/Mungu atanijalia watoto wa kike huko baadae.

#Chizi anachekesha kama sio ndugu yako vile vile mwanamke anayevaa na kutembeza kitumbua hovyo anafurahisha kama sio mama yako wala dada yako.
Kama una dada na unaona umuhimu wa mambo haya kwa dada yako, mshauri kwenu.

Watu wana uhuru wa kuishi maisha yao wanavyotaka.

Wewe unaona bikira muhimu, kuna watu hawataki kuoa mwanamke bikira wanataka anayeijua dunia tayari.

Kwa hiyo, usifikiri morals zako ndizo za watu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…