feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,519
- 17,175
Wakuu habari.
Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo yanasikitisha sana wazee.
Mabinti kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza wanahama tu magheto ya wana. Binti huyu baada ya muda atahitimu atakutakana na kijana mwingine smart mtulivu ataolewa nae hapo ndo kijana yule hakuna rangi ataacha kuona.
Na sisi wanaume wazee dah tupunguze kupiga na kuharibu hawa wanawake mnasababisha matatizo makubwa kwa waoaji.
NB:Sio chuki ni mawazo tu na sio wote