Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
DINA Nikiona rangi yako ktk picha yako nakumbuka mbali sana.
Unakumbuka wapiii???
DINA Nikiona rangi yako ktk picha yako nakumbuka mbali sana.
Kony hii itakuwa komedi fulani.mnawaokotaga wapi?
mnawaokotaga wapi?
hahahahaaaaa jebhale sebho.Ahahaha jangu jangu ina makekwe bha buganda
hakuna cha bank wala nini mkuu.akaunt iko empty.Kwa hiyo mkuu hadi leo bado upo bank hujarudi?
!
!
dating a college/universiey student is headache. Mie almanusura nitoe hTc yangu. Eti ooh niongezee ninunue simu mara ooh nipd hiyo hTc yako nikupe hii ....nikaona anantania na mie utani sipendi kabisa.......nkachimba mbaya na namba nimebadili kudadadeki.
Hayo tumezoea tunayaita mizinga 21 ya heshima.
Unakumbuka wapiii???