Mabinti Tanzani ni nouma...

Mabinti Tanzani ni nouma...

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,781
Wakuu poleni na wikiend...

Kama kawa mimi jembe afrika nimerudi tz baada ya kutelekeza mchumba uganda, kweli nyumbani ni nyumbani tu,nilikua nimepamiss sana.jamani kidogo nifie ugenini kisa mahari aisee sirudii tena kubip.

Katika mizunguko yangu nimekutana vitu vya ukweli ila sio vyeusi kama ninavyotaka ila ni wazuri kweli halafu ni wakalim kiukweli.

Yaani nikisikia neno uganda moyo unalipuka paaa,maana mabinti hawa wa museveni yaani hawataki kusikia kitu kinaitwa shida wao ni bata kwenda mbele,hata wao ni wazuri ila usipoangalia waweza uza hadi viatu.

Kuna kabinti ka mwanachuo nimekabipu kakakubali ila yanataka kujrudia yaleyale jamani haka katoto nikazuri keusi ila kameanza mizinga kama nzige,mara cmu yangu imeharibika,nikakauliza unataka cm gani?

Kakasema iphone,au sumsung galaxy kudadadadadeki mi mwenyewe nina cm ya tochi,kidogo nizimie jamani na wakati huo tulikua kwenye mgahawa fulani tunakula mimi nikaagiza wali nyama na maji madogo,yeye kudadadeki kaagiza chips kuku na baga pamoja redbul halafu akamwambia mhudumu amfungie na take away ya mdogo wake yani chips kuku nyingine na aloevera mbili,nilishituka hadi tumbo likaingia upepo,

Nikaenda uani kwanza nikapumue kwanza maana shakua majanga mim mfuko nina 15000 tu bili ni sh 36000 nilishindwa hata kula wali wangu maana nimelegea kila mahali,

Akaniuliza mbona huli nikamwambia nimekunywa chai muda simrefu kumbe ni mshituko.

Namshukuru rafiki yangu nilimpigia akanitumia sh 40000 kwenye mpesa nikalipia tukaondoka nikamuaga naenda sehemu nimeitwa na rafiki yangu,hee nikaombwa hela ya tax nikazuga ngoja nikatoe benki maana ningeumbuka kumbe hakuna cha benki wala nini.

Jamani hili balaa ni kwangu au ni wote wanaume wote?

Wanachuo tuhurumien jaman tunajiandaa na maisha eti. kama kuoa ndo hivi kazi kwelikweli......

Nimekimbia mizinga nimepokelewa na mizinga.

Uanaume kazi kwelikweli.
 
Loading arror...........
 
Papucci unataka maji akikurushia unasikia utamu hela hutaki kutoa
majangaaaaaaaaaaaa.
 
Inategemea ulivyomwaprouch...kama ulianza na bit za kipedeshee lazima akutrity kipedeshee zaid..
 
Back
Top Bottom