Mabinti Sijui huwa mnawaza nini

Mabinti Sijui huwa mnawaza nini

flood

Senior Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
131
Reaction score
202
Kama mnavyojua mke anabaraka zake kwenye familia na hata ukiangalia wote wanaofanikiwa ukiwauliza watakuambia wake zao wamewasaidia sana....pia nimechunguza kama huna malengo na msichana atakuchuna tuu ila kama mna malengo atabana matumizi kwa anavyoweza.
Nirudi kwenye mada, ndani ya miezi kama sita nimejikuta nimedate na mabnt kama wanne ila wote walinizingua yaan hakuna aliyekataa ila hawanipi majibu na mm nikiona haeleweki natulia halaf napata mwingine na huwa sisitishi mawasiliano na hata nikiwa kimya atanitafuta. Sasa imetokea wote wamekubali kwa mpigo yaan ndani ya wiki wote wamekubali na kama imeshakutokea nadhani unajua wanavyojua kubembeleza....yaan nimekuwa njia panda sijui niwajibu nini maana hapa naangalia text zao sijui nimjibu yupi...
Hivi wadada mnawaza nini pale mnapoona mwanaume yuko serious mnasubiri mpk anabadili mawazo ndio unajisogeza
 
imenikuta hiyo mkuu ila mi niliwaambia wote kuwa nishapata mtu na tunapendana sana... na naanza upya!!!
 
Hao wote utakuwa uliwatamani tu, kula wotee

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Hebu kuwa na msimamo

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Gonga wote uonje.then utajua ipi ndimu,ipi limao

Sent from my TECNO-N6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom