Mabinti Sayuni kuna ujumbe wenu hapa

Point ya kwanza--ukilala kwa watu--lazima utafunwe!
Usafi ,kupika, kufua---ndio vikorombwezo.
Hicho cha kwanza kila mtu anacho!
 
Huo ndio ukweli unataka ukae kwa watu kizembe zembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…