Mabinti punguzeni dharau

Mabinti punguzeni dharau

No matter what. Kulinganisha maumivu ya mapenz na kufiwa, ni ujinga kwasababu pengine hujawahi kufiwa. Feelings unazopata ukifiwa ni sawa na kuachwa dunia yote wewe peke yako. Loneliness plus kumbukumbu za namna marehemu aliishi na wewe, usitamani.
Sawa mkuu, samahan
 
Kuna simbilisi ishanifanyia hivyo, nikaona isiwe taabu. One-day naelekea Moro nikakutana nayo kwa road inasubiri usafiri nikampa hi nikakaa mbali...tukaanza safari kufika njiani gari likaharibika na simbilisi haina hata mia. Nikamwambia twende ntakulipia, tukapiga mastory kinyama. Ile kufika moro mi sijamwomba namba nikasepa...mara ikaniita nisubili. Ile inafika inanipa kikaratasi imeandika namba. Nikachukua nikanyoosha. Sikuipigia siku kama tatu, baadae nikaipigia mida ya jioni na kuialika tukutane Florida. Ikaja kulikuwa na live band tukapiga supu, mazagazaga kibao. Simbilisi inaagiza inaletewa tu..mida ikaenda kinyama simbilisi inaogopa kurudi nyumbani kwao si tukasepa nayo home kwangu......Itaendelea...
 
Harakisha mkuu, naweka Kambi hapa
 
People falling in love mysterious ways [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ed Sheeran thinking out loud
 
Kuna wanaume huwa wanaona ni lazima wapate kila wanachotaka, sasa mtu hajiskii kukupa namba utamlazimisha? Mtu kakuambia hana simu ilihali unaiona huwezi kujiongeza kwamba hana interest na wewe??
 
Back
Top Bottom