Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,930
Acha ujinga. Yani unatamani kufiwa kuliko kunyimwa namba?Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa..
Kama imewahi kukutokea itakuwa unaelewa. Maumivu yake ni Bora hata ufiwe