Mabinti picha zenu za uchi mnatuchefua, badilikeni

Mabinti picha zenu za uchi mnatuchefua, badilikeni

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Ongezeko la kina dada wanaopiga picha za utupu linazidi kukuwa kwa kasi, hasa mabinti wa vyuo vikuu. Hii tabia sasa imekuwa kama ni kawaida bila wao kutambua madhara yake huko mbeleni. Ukiwauliza kwanini mnapiga picha hizi watakwambia ni maboyfriend zao ndio wanawapiga siku wakigombana ndio anaamua kusambaza kwenye mitandao hasa whatsapp.

Sasa nauliza hivi unapopigwa hiyo picha akili zako unakuwa umeshikiwa?...kwanini ukubali huu ujinga alafu umejichetua kabisa hivi Mzazi wako anakuona unafikiri atajisikiaje? Mbaya zaidi siku hizi mnatoa hadi video.

Acheni kuiga kila jambo kwani mnajiharibia CV zenu huko mbele. Imeniuma sana baada ya kuiona picha ya ndugu yangu mtandaoni, nikamuuliza kwanini umepiga hizi picha anatoa jibu jepesi kuwa mpenzi wangu.
 
tatizo ni hali ngumu ya maisha! utakuta msichana anatengemea karibia % 95 ya bajeti ya boyfriend wake na kila x friend wake akitakacho mwanamke hawezi kukataa! na akikataa anamtishia anamwacha na ataongopa kusitishiwa misaada! na wakija kuachana ndiyo hvyo
 
Pole sana kwa kukuta picha ya ndugu yako mtandaoni,Inasikitisha kwa kweli coz sio utamaduni wa kitanzania.
 
Pole sana

Ongezeko la kina dada wanaopiga picha za utupu linazidi kukuwa kwa kasi, hasa mabinti wa vyuo vikuu. Hii tabia sasa imekuwa kama ni kawaida bila wao kutambua madhara yake huko mbeleni. Ukiwauliza kwanini mnapiga picha hizi watakwambia ni maboyfriend zao ndio wanawapiga siku wakigombana ndio anaamua kusambaza kwenye mitandao hasa whatsapp. Sasa nauliza hivi unapopigwa hiyo picha akili zako unakuwa umeshikiwa?...kwanini ukubali huu ujinga alafu umejichetua kabisa hivi Mzazi wako anakuona unafikiri atajisikiaje? Mbaya zaidi siku hizi mnatoa hadi video.
Acheni kuiga kila jambo kwani mnajiharibia CV zenu huko mbele. Imeniuma sana baada ya kuiona picha ya ndugu yangu mtandaoni, nikamuuliza kwanini umepiga hizi picha anatoa jibu jepesi kuwa mpenzi wangu.

Ila mahaba ndugu yangu

Mahabaaaa

Wanaambia "hii ni special for me" then tunaishia kuifaudu mitandaoni
 
Mkuu ni kuwaacha tu si wameaua kuishi maisha a liwalo na liwe? Hakuna cha kusema boifrendi wa kakaake boifrendi ni umalaya wao tu....

Wao si waajitoa ufahamu wanajiona wanaenda na wakati? Acha wapekenyuliwe,,
 
Cc wanaume ndo 2nakosea just imagine unachomfanyia x gal wako angefanyiwa dadaako ungefil aje!!

mkuu hao ni wao wenyew wanapiggana hizo picha yaan wanawake kwa wanawake hilo la boyfriend ni kisingizio tu. Kama video moja niliwahi kuiona ya wanafunzi wa Udom wanakata viuno uchi kabisa na wao watasema ni maboyfriend wao?
 
Dah kumbe naww unaipatae!!, alaf m1 anam-bambia kwa nyuma km anamgonga!!! Nao dada xe2 hawajielew tatzo
 
kama zinakera kwanini mnaziangalia??
 
Wanakukera au na wewe ndio unaosha macho? ili nafsi isuuzike.
nyie ndio wale mnaojifanyaga ma diss minder kwa sana tu lakini simu zenu au computer zenu zimejaaa maunjanja "picha zetu " zile mpaka basi na mkipata fursa huwa mna angalia sana mpaka mnaweza kubambwa na watu wengine kwani mpaka huwa mnapatamfadhaiko kwa jinsi mlivyo na ugumu/ ganzi.
 
Haya tumekusikia kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom