ukiwa hupendi izi mambo sio mkamlifu tunatofautiana kwenye kutoa hisia wengine wanakufa nazoacha kumchamba mwenzio...ata wewe unapenda ndio maana umesoma hii thread
izi amana natumai hata ww zinakuumiza ukiziona ila tatizo pamlomo emptyukiona wewe ni Mwanamme alafu unafatilia mavazi ya Mwanamke kuna hatar kubwa sana ya kupoteza ulirijali wako. Chukua hatua!
naona umetilia kabisa mkazo mkuuizi amana natumai hata ww zinakuumiza ukiziona ila tatizo pamlomo empty
Well saidacha kumchamba mwenzio...ata wewe unapenda ndio maana umesoma hii thread
Hizo za pundamilia mimi ndio zinanikomeshaga sana, yani ninashambuliwa hadi naomba mpira uishe.. aisee kweli wadada wana mamboKuna hizo halafu kuna zile kama pundamilia ndefu mpaka chini,,akivaa bint na mistari ya kyupi inajichoraa alooo