.Mada yoyote iwahusuyo wachaga lazima iwe na mapingamizi makubwa labda tu iwe ya kuwasifu.
Mtoa mada kaiwakilisha lakin inamapungufu sana ingawa bado ujumbe wake si wakuupotezea.
Ukisoma kwa kina utajua mambo makuu ni pesa(na kufilisika) na mapenzi.
Pitia comments hapa utaona issue ya pesa imepewa msisitizo.na kusahaulika issue ya kufilisika na comment hakuna.yale mambo yetu yale ya "mizimu" yana nafasi kubwa ktk ufilisi wa mali.unakuta baadaya kuoa mchaga unakuwa mtu wa mikosi tu.mara kazi umefukuzwa mara biashara imesimama yaaan!
Kwenye mapenzi,utakuwa na thaman saaaana kwa mchaga kama utakuwa unapeleka pesa nyingi nyumbani na haijalishi zimetoka wapi;umepokea rushwa,umetoa kafara, umeiba,umedhulumu au umeinamishwa na mwanaume mwenzio yote sawa tu we peleka pesa tu.mapenzi ya ukweli hakuna kwani yameegemea ktk kipato,cheo,mali.ukitokea umefukuzwa kazi au umefilisika basi hata upendo unafilisika sawia.
"maisha ni kupanda na kushuka"hii ni kanuni ya asili.hakuna mwenye guarantee ya kuwa na pesa daima