Mabingwa wa Ligi mbalimbali duniani na timu zishukazo daraja 2017-2018

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Tukiwa tunaenda ukingoni kabisa mwa ligi mbalimbali duniani sio mbaya tukijikumbusha mabingwa wa ligi hizo.

Tanzania.Asilimia kubwa Yanga anaenda kuwa bingwa ila game za mwisho ndo zitaamua mshindi.
zilizoshuka daraja..Jkt Ruvu,Toto African bado timu moja.

Uingereza.bingwa Chelsea
kushuka daraja.Hull city,Sunderland,middlesbrough

UFARANSA
Bingwa.Monaco
kushuka daraja.Bastia,Nancy,lorient

UJERUMANI
Bingwa.Bayern Munich
kushuka daraja.Hamburg,ingolstadt,darmrstad

UHOLANZI
Bingwa.Feyernood

SPAIN
Bingwa.Barcelona/Real madrid,Tunasubiri game za mwisho.
kushuka daraja.Granada,Gijon,osasuna

Italia
Bingwa.%kubwa inaenda kwa Juventus
kushuka daraja Pescara,palermo,crotone

Tutazidi juzana zaidi.
 
Ligi daraja la pili nchi ufaransa kuna timu sita zote zinafight ubingwa na game imebaki moja kwa kila timu
 
Hamburg ninayo ifahamu Mimi?
1495259550735.png
kila timu imebakiza game moja zinachezwa leo
 
Back
Top Bottom