Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
BOT imemaliza kuandaa ripoti yenye orodha ya majina ya watu wenye mijihela huko benki za uswiss. repoti hiyo itatolewa kwa watu husika tu watakaoihitaji. kama Gavanna alivyosema. Ripoti hiyo imeandaliwa ili kukagua kama hela yote iliyopo kwenye mabenk hayo ya nje ni ya kihalali. Soma habari nzima the guardian 20.1.2016