Leo nimeharibu siku yangu nimepita maeneo ya Hazina pale nikamsikia Afisa mmoja akizungumza na mwenzake kwa uchungu sana. Vitu muhimu nilivyo vi-note ni kama ifuatavyo.
1. Kila wizara imelazimishwa ifanye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, wakati serikali ipo katika hali ngumu sana kifedha.
2. Wizara zoote hazikubajeti pesa kwa ajiri ya shughuli hii
3. Kila wizara imeamuliwa iangalie katika vifungu vyake itatoa wapi pesa na shughuli za kifungu husika zisimame mpaka bajeti ya mwakani
4. Mpaka sasa kwa wastani kila wizara inatumia zaidi ya Billion mbili kwa shughuli za kuadhimisha Miaka 50 ya uhuru
5. Inasemekana viongozi wa CCM wamekasirika kuambiwa kwamba hawajafanya lolote tokea tupate uhuru.
Naumia sana nikijiuliza: hivi jumla tuna wizara na Taasisi ngapi za Serikali? Mpaka hili zoezi la kujisafisha liishe jumla itatumika bei gani? katika kipindi hiki ambacho uchumi unadorora ni kwanini hizo pesa zisielekezwe katika maeneo yatakayo punguza makali? kama vile kuongeza ruzuku kwa wazalishaji na wasafirishaji bidhaa nje ya nchi, Kwanini wataalamu wetu Serikalini wanaendeshwa kiasi hiki na wana siasa? Hivi CCM wanaona ni sawa kusheherekea miaka 50 ya uhuru huku ukienda madukani unakutana mpaka na maziwa freshi, mboga za majani na matunda kutoka nje ya nchi?????????????????? AAAAAAAAAGR!!

Mkuu hujaamka nazo kweli ? Nimesoma sijaelewa kitu kimoja , ujumbe uko clear kichwa cha habari mbona kimekaa kilevi levi ?

Naumia sana nikijiuliza: Hivi jumla tuna wizara na Taasisi ngapi za Serikali? Mpaka hili zoezi la kujisafisha liishe jumla itatumika bei gani? katika kipindi hiki ambacho uchumi unadorora ni kwanini hizo pesa zisielekezwe katika maeneo yatakayo punguza makali? kama vile kuongeza ruzuku kwa wazalishaji na wasafirishaji bidhaa nje ya nchi.
Kwanini wataalamu wetu Serikalini wanaendeshwa kiasi hiki na wana siasa? Hivi CCM wanaona ni sawa kusheherekea miaka 50 ya uhuru huku ukienda madukani unakutana mpaka na maziwa freshi, mboga za majani na matunda kutoka nje ya nchi?
AAAAAAAAAGR!!
Mkuu hujaamka nazo kweli ? Nimesoma sijaelewa kitu kimoja , ujumbe uko clear kichwa cha habari mbona kimekaa kilevi levi ?
Jamani mbona anaeleweka vizuri sana??? Nyie msioelewa ndiyo mmeamka nazo!!! Ahsante sana Mkuu kwa kutuletea nyeti hizi!!! Wapinzani wapige kelele nyingi sana bungeni na majukwaani kupinga ubadhirifu huu!!
Mkuu hujaamka nazo kweli ? Nimesoma sijaelewa kitu kimoja , ujumbe uko clear kichwa cha habari mbona kimekaa kilevi levi ?
serikali ya kisela hata mambo yake huenda kisela sela tu
Maadhimisho yanafanyika kila mkoa na wilaya ambapo mabanda hujengwa, kupambwa na kwekewa watumishi humo kufanya maonyesho. Nahisi hii linaongezea kwenye bilioni ulizozitaja kwa kila wizara. Du Kama kupanga ni kuchagua hapa tumeingizwa "vichakani"
Halafu tunamlaumu Jairo, haka kanchi kameshakufa kanatembea kwa kudra za mwenyezi Mungu. Hapo wajanja wanakamua tena mshiko, si wameruhusiwa kufanya hivyo. Nchi ya kukurupuka hii, yaani mwaka jana wakati wanabajeti hawakujua kuna maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru?
hata mie naungana nawe hii ina chenga na sijaamka nazo maana hata coka huwa sinywi. Nilitegemea mabililioni yametengwa kuwajibu wapinzani kuhusu jambo fulani.Mkuu hujaamka nazo kweli ? Nimesoma sijaelewa kitu kimoja , ujumbe uko clear kichwa cha habari mbona kimekaa kilevi levi ?