LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,287
- 11,636
- Thread starter
- #61
Thibitisha uislam uliokuwepo kabla ya adamUislam: Anaepaswa kuabudiwa kwa haki ni mmoja tu ambae ni Allah.
Hajazaa wala hajazaliwa na wala hafanani na kitu chochote!
Muhammad (SAW) ni mjumbe wake!
Yoyote yule ambae anakwenda kinyume na hayo (Asie yaamini hayo) huyo ni KAFIRI.
NB: Pia fahamu kwamba uislamu ulikuwepo tangu Adam (AS).
PIA: Nakushauri ukiwa una swali lolote kuhusu UISLAM tafuta mtu mwenye elimu akuelimishe kwa undani zaidi!
Usiridhike na majibu ya wadau wa JamiiForums. Uislam sio dini ya mchezo mchezo na wala sio jambo la mzaha mzaha! Ni dini iliyo jitosheleza.
KUMBUKA: Yoyote yule asie amini UISLAM, huyo ni KAFIRI.
Kumradhi.