Mabilionea Rugemalira na Singasinga Harbinder!

Kwa hiyo kwa maoni yako wameonewa? Na kama ni hivyo kwa nini hawashindi kesi Mahakamani? Isitoshe kama ni chuki dhidi ya matajiri kama ulivyoiita kwa nini wao tu? Mbona Mengi, Bakhresa, Dewji, au hata Fisadi Lowasa hawako Jela?
Well said walahi
 
Mwenye Enzi Mungu naomba unifundishe kuwa na kiasi nisije nikakufukuru na usinipe umaskini nisije nikakutukana walahi
 
Hii dunia hii,Zakaria naye anaweza jikuta katika hali hii.
 
Ruge kafanana na Saddam Hussein kipindi yuko mafichoni akitafutwa na USA
Leo kwake kesho kwako, Nilishawahi sema sitokuja kwenda jela….juzi juzi mtu kaibiwa laptop ya bei ghari kwenye nyumba ninayopanga, wamekuja police kutusomba usiku nyumba nzima kituoni, tukakaa huko mpaka saa saba ndo kutoka kwa dhamana. So tuwaombee mema kwa sababu hata tukiwaombea mabaya ili hali nasi tu wabaya kwa mambo mengine haitotusaidia chochote.
 
Tujifunze kuwaombe watesi mema kwa sababu hata tukiwaombea mabaya ili hali nasi tu wabaya kwa mambo mengine haitotusaidia chochote.
 
Bado hujawahi kwenda jela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…