Huwezi endelea kwa kuwa na chuki na matajiri,masikini atazidi kuwa masikini kwa kutegemea tajiri kushuka,awamu ya kwanza walikuwa na chuki na matajiri kwa vita feki vya wahujumu uchumi, wengi walinyanganywa mali zao walizopata kihalali kwa sababu ya chuki,alipooingia ruksa wale wale waliopokonywa Mali zao sababu wana akili ya kutafuta wakawa na kuzidi kuwa matajiri, walio wanyanganya wamekufa masikini,aliepewa kapewa utasubiri sana
Ukimuona tajiri jela jua kagombana na watawala, kwani wao ndo walienda kuzifata hela au walishirikiana na walio kwenye system MBONA kina makengeza,kiasi cha mboga wako nje? wako ndo walilambaKwa nini unasema ni chuki? Kwa hawafikishwi Mahakani? Kwa nini hawashindi kesi kama hawana kosa na wanaonewa? Isitoshe Jela kwa maoni yako ni kwa ajili ya masikini tu?
Kwa nini unasema ni chuki? Kwa hawafikishwi Mahakani? Kwa nini hawashindi kesi kama hawana kosa na wanaonewa? Isitoshe Jela kwa maoni yako ni kwa ajili ya masikini tu?
Ukimuona tajiri jela jua kagombana na watawala, kwani wao ndo walienda kuzifata hela au walishirikiana na walio kwenye system MBONA kina makengeza,kiasi cha mboga wako nje? wako ndo walilamba
Yote hayo ni roho mbaya na visasi vya bwanamkubwa wanufafaika wa escrow wengi ni wana ccm na bado wako mtaani wanatesa. Wengine wamefungua madarakani kwa fedha za escrow
Singa singa amepunguza uzito balaa!
Yapo maswali yasiyo na majibu, hivi
1. Seth alipataje mabilion haya, alienda BOT kunyang'anya?
2. Kama Seth hakunyang'anya, alipewa, aliyempa ni nani na mbona hajakamatwa?
3. 306 bil ni pesa nyingi, je zinaweza zinaweza kutoka bila viongozi wa BOT na wizara kutojua?
4. Kuna watu walipewa mgawo wa escrow tena wengine kwenye sandarus, je watu hawa wako wapi?
Sio amepunguza uzito,sema uzito umepungua.[/QUOTE
Ni baba wa Windhoek kama sikosei.....nilikua namtafuna Mkwe wake mmoja, alikuwa akinipatia vicarton kadhaa najipooza baada ya show kalinaona baba wa Heineken Kavaa kanzu,Kuna watu wamekula maisha hii nchi,
Sana walahi!Kweli wanapata tabu sana
Mwenye Enzi Mungu atuepushe walahiKweli maisha ni kama gwaride!baba Eva anatia huruma sana[emoji22]
Ndio wao wanamiliki mabibo kiwanda ila pia wao ndo wenye hatimiliki ya kuingiza na kusambaza heineken nchini labda kama wawe wamenyanganywa hatimiliki au wameachaNi baba wa Windhoek kama sikosei.....nilikua namtafuna Mkwe wake mmoja, alikuwa akinipatia vicarton kadhaa najipooza baada ya show kali
Ukifikiri kwa kina juu ya hii inaitwa vita ya kupambana na ufisadi unaona ni ulaghai na chuki binafsi tu dhidi ya matajiriYapo maswali yasiyo na majibu, hivi
1. Seth alipataje mabilion haya, alienda BOT kunyang'anya?
2. Kama Seth hakunyang'anya, alipewa, aliyempa ni nani na mbona hajakamatwa?
3. 306 bil ni pesa nyingi, je zinaweza zinaweza kutoka bila viongozi wa BOT na wizara kutojua?
4. Kuna watu walipewa mgawo wa escrow tena wengine kwenye sandarus, je watu hawa wako wapi?
Kosa lipo kisiasa zaidi,Sawa lkn hapa swali ni kwamba Je, hao Mabilionea wameonewa kwamba hawana kosa?