Mabilionea 18 Afrika orodha mpya ya Forbes, Afrika Mashariki yatoa mmoja pekee ( MO DEWJI)

Hapa tunajadili lawama ama tunajadili kingne manaa naona unalaumu tu..sasa kama katumia mashamba kujipatia mipesa kumlaum ndo itapunguza hzo pesa.hata kama kauza madawa...hyo sia hatujui ..
Nalaumu nini?! Wewe umetaja mashamba kama moja ya huo utajiri wa Mo nami nimekuambia hayo mashamba hayana kitu! Na wala sikulazimishi lakini ukweli utabaki pale pale kwamba utajiri wa Moyo umegubikwa na ujanja ujanja tu wa publicity!!!
 
Jibu ni rahisi sana.
Hao forbes huchukua taarifa rasmi za mali iliyothaminishwa ya mtu mmoja mmoja anazozimiliki binafsi. Wapo watu wengi sana ambao ni matajiri wakubwa lakini taarifa za utajiri wao wanaomiliki haziko rasmi (non verifiable), utajiri wao wameutauwanya katika makampuni tofauti tofauti kwa migongo ya majina ya watu wengine (un mentioned), umiliki wa mali zao uko kifamilia/kiukoo, baadhi ya mali zao wanazozimiliki hazijathaminishwa rasmi.

Bakhresa ni mkusanyiko wa makampuni yanayomilikiwa kifamilia, bodi ya wakurugenzi ni wanafamilia ambao ndio wamiliki. Umiliki wake hautajwi kwa jina la mtu mmoja fulani.

Otherwise, kwa juu juu tu, kampuni ya Bakhresa ni kubwa sana ukilinganisha na Mo enterprises.
Kama ni hivyo mbona bakhresa kaanzia zero yeye mwenyewe na ndugu zake yeye ndie kawaweka kwenye kusimamia

Sema yeye ni msiri sana wa mali zake hajawa open
 
Hivi Mo Dewji zile 20 Bilioni zake alowekeza Simba ndio awe tajiri Afrika Mashariki? Matajiri hawajisemi, mzee Bakhressa kawekeza zaidi ya b 220....na upuuzi lakini hata tweet yake haionekni sehemu.
Acheni kumlinganisha Mudi Biriani na mzee Bakhresa!
 
Hivi Mo Dewji zile 20 Bilioni zake alowekeza Simba ndio awe tajiri Afrika Mashariki? Matajiri hawajisemi, mzee Bakhressa kawekeza zaidi ya b 220....na upuuzi lakini hata tweet yake haionekni sehemu.
Acheni kumlinganisha Mudi Biriani na mzee Bakhresa!
Elon Musk ana zaidi ya Dollar 180B na ana Tweet kila lisaa
 
Inashangaza sana. Kwani mo biashara zake kubwa kubwa hasa ni zipi?
Mo janja janja anatumia hii kufungua chanel zingine kwenye mabank lakini hamfikii Bakhresa kabisa tena mbali tu na uhakika na hilo.
 
Hivi Mo Dewji zile 20 Bilioni zake alowekeza Simba ndio awe tajiri Afrika Mashariki? Matajiri hawajisemi, mzee Bakhressa kawekeza zaidi ya b 220....na upuuzi lakini hata tweet yake haionekni sehemu.
Acheni kumlinganisha Mudi Biriani na mzee Bakhresa!
acha wivu tafuta pesa kijana
 
Humjui Mo vizuri kumbe mkuu....niishie hapo....
Nikupe tu hints..ukisafir mikoan unaonaga yale mashamba ya mkonge na zile rail na zile nyumba mbovu mbovu za wafanya kazi..ni za kina Mo toka miaka ya 70...

Mo ana viwanda zaidi ya 60 Tanzania pekee yake bado hujaenda nje

Hivi products za Mo unazijua au huzijui
1.mo ni exporter namba1 wa korosho Africa nzima...hapo bado nafaka zingne

2.Mo ni importer namba moja wa sukar na mafuta ya kula Tanzania Miaka yote.

3.Mo ana vi products vidogo vidogo ambavyo huwez vihesab toka miaka ya 80 kama..viberit.maziwa..sabuni.biskuti.ndala..fabrics. Chemicals za viwandani na kama ndo Mo products drinks huko ndo usiseme...

4.baba yake Mo alikua na ugomvi na serikal maana alinunuaga ma godown karibia 60% ya serikal nchi nzima miaka ya 80...kias kwamba serikal ilianza kuyarudisha kinguvu....alikua ananunua anahifadhia mazao anayo export

So kuna uwezekano ni kwel Mo kampita bakheresa

Usidanganyike na jina la azam na vile viwanda vya unga mkuu..mo ana maviwanda meeng hayahesabik..hayo ma godown ndo kabisaaaaa

Bakhera ana pesa ila Mo kamzid kdogo
Hapa utopolo wataingiza mambo ya ushabiki na wataanza kumpinga Mo bila sababu ya msingi.
 
Back
Top Bottom