Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,960
Humjui Mo vizuri kumbe mkuu....niishie hapo....Jibu ni rahisi sana.
Hao forbes huchukua taarifa rasmi za mali iliyothaminishwa ya mtu mmoja mmoja anazozimiliki binafsi. Wapo watu wengi sana ambao ni matajiri wakubwa lakini taarifa za utajiri wao wanaomiliki haziko rasmi (non verifiable), utajiri wao wameutauwanya katika makampuni tofauti tofauti kwa migongo ya majina ya watu wengine (un mentioned), umiliki wa mali zao uko kifamilia/kiukoo, baadhi ya mali zao wanazozimiliki hazijathaminishwa rasmi.
Bakhresa ni mkusanyiko wa makampuni yanayomilikiwa kifamilia, bodi ya wakurugenzi ni wanafamilia ambao ndio wamiliki. Umiliki wake hautajwi kwa jina la mtu mmoja fulani.
Otherwise, kwa juu juu tu, kampuni ya Bakhresa ni kubwa sana ukilinganisha na Mo enterprises.
Nikupe tu hints..ukisafir mikoan unaonaga yale mashamba ya mkonge na zile rail na zile nyumba mbovu mbovu za wafanya kazi..ni za kina Mo toka miaka ya 70...
Mo ana viwanda zaidi ya 60 Tanzania pekee yake bado hujaenda nje
Hivi products za Mo unazijua au huzijui
1.mo ni exporter namba1 wa korosho Africa nzima...hapo bado nafaka zingne
2.Mo ni importer namba moja wa sukar na mafuta ya kula Tanzania Miaka yote.
3.Mo ana vi products vidogo vidogo ambavyo huwez vihesab toka miaka ya 80 kama..viberit.maziwa..sabuni.biskuti.ndala..fabrics. Chemicals za viwandani na kama ndo Mo products drinks huko ndo usiseme...
4.baba yake Mo alikua na ugomvi na serikal maana alinunuaga ma godown karibia 60% ya serikal nchi nzima miaka ya 80...kias kwamba serikal ilianza kuyarudisha kinguvu....alikua ananunua anahifadhia mazao anayo export
So kuna uwezekano ni kwel Mo kampita bakheresa
Usidanganyike na jina la azam na vile viwanda vya unga mkuu..mo ana maviwanda meeng hayahesabik..hayo ma godown ndo kabisaaaaa
Bakhera ana pesa ila Mo kamzid kdogo