AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 1,553
- 3,903
Acha ukorofi bwana harusi chukua notes kwa umakini mkubwaa ohooWeka paragraph
Ukimlomba vizuri, kumpa pesa, kumsifia urembo wake, kuzingatia Kila kitu bado atakuacha kama mke wa Ricardo kaka sijui wanataka nn, ukiwa mwema anatafuta mtitiMwanamke huwezi pata mwanaume mwenye hizi sifa zote kwa pamoja yani mwanaume mwenye pesa,mwenye upendo,msikilivu,mwenye muda na ulomantic kwapamoja. Pia wawanaume wenzangu hatuwezi pata mwanamke mwenye sifa hiizi zote kwa pamoja mwanamke mrembo mwenye shepu,mlezi na mwalimu bora,msikivu,mvumilivu,msaidizi,mnyenyekevu,mwenye akili timamu (hawa watu hawapo dunia hii ndiomaana msingi wa ndoa ni mvumilivu)
mwanamke mrembo mwenye shepu,mlezi na mwalimu bora,msikivu,mvumilivu,msaidizi,mnyenyekevu,mwenye akili timamu (hawa watu hawapo dunia hii ndiomaana msingi wa ndoa ni mvumilivu)
Najua utaki vurugu PM.mi sio mrembo😆😆 nipo kawaida
sio vurugu ila huo ndo ukweli☺️Najua utaki vurugu PM.
Ni vizuri.
Nilikuwa namwambia tu kuwa wanawake wenye Sifa alizotaja wako wengi tu. Tena wengine wana zaidi ya hizo.
Ukiwa Real, utapata Real mwenzako.
Hata kwa Mwanaume.sio vurugu ila huo ndo ukweli☺️
yeah ni kweli warembo wapo wengi ni mwendo wa kuwa real tu
mwanaume mwenye pesa,mwenye upendo,msikilivu,mwenye muda na ulomantic kwapamoja
labda anamaanisha pesa nyingi na uromantic kama wa kwenye tv😅Hata kwa Mwanaume.
Wa hivi wako wengi. Na wengne zaid ya hivi
Actually hizi vigezo ni vichache. Ni vya kawaida sana.
Labda pengne sijui ni Kwa ukubwa gani anaongelea hapo kwenye pesa, muda , upendo na Uromantic.