Negotiator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 303
- 44
3.aliwahi kushiriki operesheni ya kumuua tamim,yule komando wa JWTZ aliepindua nchi miaka ya nyuma,lkn anasemaga kuwa hakumuua yeye,alikua anaitwa agent X....mwenzake ni balozi wa tanzania canada
hii thread ingekuwa na wachangiaji tungepata habari zaidi lakini naona watu wanapita bila kuweka mawazo yao vie wanavyomfahamu!Maswali mazuri japo ni magumu
Jamani wanaojua mbona hamtririki...?
Hans pop wa simba AU?