Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Taarifa za baadhi ya Mabenki nchini kuyumba zinashtua. Benki ya CRDB hali so shwari kutokana na kuyumba kuuchumi Na wakopaji kutolipa Mikopo yao Kwa wakati.
Nadhani mtikisiko huu utayakuta na mabenki mengine kama NMB, NBC n.k nadhani ni wakati sahihi Kwa Benki zetu kuwafuatilia Kwa karibu Wakopaji wake ili walipe mikopo yao.
Nazishauri Benki zisifanye siasa katika kudai Madeni Watanzania walio wengi hawana utamaduni wa kulipa Mikopo Kwa wakati Na ikilazimu kukamata na kuuza Mali zao Benki zifanye hivyo.