Mabenk ili kujinusuru kufilisika kasi ya kudai wakopaji iongezeke

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Taarifa za baadhi ya Mabenki nchini kuyumba zinashtua. Benki ya CRDB hali so shwari kutokana na kuyumba kuuchumi Na wakopaji kutolipa Mikopo yao Kwa wakati.

Nadhani mtikisiko huu utayakuta na mabenki mengine kama NMB, NBC n.k nadhani ni wakati sahihi Kwa Benki zetu kuwafuatilia Kwa karibu Wakopaji wake ili walipe mikopo yao.

Nazishauri Benki zisifanye siasa katika kudai Madeni Watanzania walio wengi hawana utamaduni wa kulipa Mikopo Kwa wakati Na ikilazimu kukamata na kuuza Mali zao Benki zifanye hivyo.
 
Asilimia kubwa ya mikopo hulipwa kuliko wale ambao hawalipi
Chunguza vizuri utaona. Bank wanapenda kuapa mikopo wana siasa lakiji ndio ambao huafilisi

1 hawarudishi mikopo yao
2 huchuku mikopo mikubwa hadi ya mabilioni
3 bank huamini sana

Lakini watu binafsi wanaochukua ndio wanaongoza kulipa mikopo yao na hao ukishindwa, tu haipiti miezi 3 unauzia zamana yako ya nyumba ulioeka
Ila kwa wana siasa ni ngumu kuuza zamana ya nyumba yake
 
Siamini kama sababu ni wakopaji kuto kulipa madeni, kuna sababu ambazo kwa hakika haziwezi semwa hadharani!
 
Hii ya kufanya maamuzi yanayodhiathiri banks hakika ita fire back na nchi nzima itafeel pinch yake. Sio kila kitu ni kukurupuka tu.
 
Mpaka kufika 2025 idadi ya bank zitakuwa chache sana, zitabaki zenye mitaji ya kutosha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom