Mchicha Makunyazi
Member
- Mar 10, 2018
- 23
- 13
Ingia alibaba bit.ly/2IeYV5F utapata.Assalam alaykum
Nahitaji kujua yanapaopatikana mabembea ya watoto kama.vile slides na mengine yanayofanana na hayo
nisaidie brother kujua gharma ya bembea nne hadi zinaingia getini dsmIngia alibaba bit.ly/2IeYV5F utapata.
Iwapo utahitaji usaidizi katika manunuzi na kufikisha mzigo nchini usisite kuwasiliana nami kupitia hii thread bit.ly/2HMnhEn
Karibu
Asante mkuuuIngia alibaba bit.ly/2IeYV5F utapata.
Iwapo utahitaji usaidizi katika manunuzi na kufikisha mzigo nchini usisite kuwasiliana nami kupitia hii thread bit.ly/2HMnhEn
Karibu
Fuata hizi hatuanisaidie brother kujua gharma ya bembea nne hadi zinaingia getini dsm
Fabricated au imported?Assalam alaykum
Nahitaji kujua yanapaopatikana mabembea ya watoto kama.vile slides na mengine yanayofanana na hayo
Mi nataka niagize laptop kutoka nje mkuu,una ofis DSM mkuu?Ingia alibaba bit.ly/2IeYV5F utapata.
Iwapo utahitaji usaidizi katika manunuzi na kufikisha mzigo nchini usisite kuwasiliana nami kupitia hii thread bit.ly/2HMnhEn
Karibu
Wapo watu wanatengeneza hapahapa Bongo. Kama haujafanya Maamuzi tuwasilianeAssalam alaykum
Nahitaji kujua yanapaopatikana mabembea ya watoto kama.vile slides na mengine yanayofanana na hayo
Owky sawaWapo watu wanatengeneza hapahapa Bongo. Kama haujafanya Maamuzi tuwasiliane
Ndio, ipo ofisi.Mi nataka niagize laptop kutoka nje mkuu,una ofis DSM mkuu?
Order si mnafanya nyinyi ?mi nalipia kwenu nyie mnamaliza kila kitu,nawaonesha tu bidhaa nilipoiona na bei yakeNdio, ipo ofisi.
Maelezo zaidi yako hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Hakikisha umesoma
- POsti ya kwanza na ya pili
- Hakikisha umesoma feedback kwa waliopata huduma tayari.
Ndipo ufanye order
Karibu whatsapp 0784 496 856
SahihiOrder si mnafanya nyinyi ?mi nalipia kwenu nyie mnamaliza kila kitu,nawaonesha tu bidhaa nilipoiona na bei yake
Ghalama = gharama....Sahihi
- Utanipatia link ya bidhaa unayohitaji
- Nitakupa ghalama ya Manunuzi + kusafirisha hadi kuufikisha mzigo Dar
- Utalipia na kusubiri kupokea mzigo.
NB: Iwapo Hapa nchini kutakuwa na tozo la VAT utajulishwa baada ya mzigo kufika
Karibu
Huwa mnachaji kwa mtindo upi ktk utoaji wa hizo Huduma zenu?Sahihi
- Utanipatia link ya bidhaa unayohitaji
- Nitakupa ghalama ya Manunuzi + kusafirisha hadi kuufikisha mzigo Dar
- Utalipia na kusubiri kupokea mzigo.
NB: Iwapo Hapa nchini kutakuwa na tozo la VAT utajulishwa baada ya mzigo kufika
Karibu
Rejea bandiko langu hapa: www.bit.ly/101buy4me nimeweka ufafanuzi.Huwa mnachaji kwa mtindo upi ktk utoaji wa hizo Huduma zenu?