Mabembea ya watoto yanapatikana wapi?

Mabembea ya watoto yanapatikana wapi?

Joined
Mar 10, 2018
Posts
23
Reaction score
13
Assalam alaykum

Nahitaji kujua yanapaopatikana mabembea ya watoto kama.vile slides na mengine yanayofanana na hayo
 
nisaidie brother kujua gharma ya bembea nne hadi zinaingia getini dsm
Fuata hizi hatua
1. Tembelea alibaba
2. Chagua aina ya bembea unazo hitaji
3. Nipatie link zake
4. Nitafanya mawasiliano na muuzaji ili kupata ghalama ya manunuzi na kusafirisha kwa meli hadi hapa Tanzania
5. Utafanya malipo na kusubiri mzigo ufike. Huwa ni ndani ya wiki 6 - 7 kwa meli
KARIBU
 
Order si mnafanya nyinyi ?mi nalipia kwenu nyie mnamaliza kila kitu,nawaonesha tu bidhaa nilipoiona na bei yake
Sahihi
- Utanipatia link ya bidhaa unayohitaji
- Nitakupa ghalama ya Manunuzi + kusafirisha hadi kuufikisha mzigo Dar
- Utalipia na kusubiri kupokea mzigo.

NB: Iwapo Hapa nchini kutakuwa na tozo la VAT utajulishwa baada ya mzigo kufika

Karibu
 
Ghalama = gharama....
Mchango wangu ndio huo tu.
 
Sahihi
- Utanipatia link ya bidhaa unayohitaji
- Nitakupa ghalama ya Manunuzi + kusafirisha hadi kuufikisha mzigo Dar
- Utalipia na kusubiri kupokea mzigo.

NB: Iwapo Hapa nchini kutakuwa na tozo la VAT utajulishwa baada ya mzigo kufika

Karibu
Huwa mnachaji kwa mtindo upi ktk utoaji wa hizo Huduma zenu?
 
Back
Top Bottom