GE2025 Mabelele: CHADEMA ilipowafukuza Wabunge 19, Msajili alichukua Maamuzi gani? Mpina arudishwe kwenye Kinyanganyiro, yanayoendelea ni kuchafua CCM

GE2025 Mabelele: CHADEMA ilipowafukuza Wabunge 19, Msajili alichukua Maamuzi gani? Mpina arudishwe kwenye Kinyanganyiro, yanayoendelea ni kuchafua CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Buluba Mabelele amezungumzia utendaji wa haki kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa na yanayoendelea katika vyama vya siasa nchini akisisitiza Tume huru ya Uchaguzi (INEC) kumrejesha Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina kwenye kinyanganyiro kuwania nafasi hiyo akidai yanayoendelea yanachafua chama cha Mapinduzi (CCM)

"Chadema ilipowafukuza wale wabunge 19, Msajili wa vyama vya Siasa alichukua maamuzi gani, kusiwe na double standard” Buluba Mabelele - KADA WA CCM


 
Back
Top Bottom