Mabehewa ya SGR kwenye reli ya MGR

No hakuna mchezo wowote. Siku ile yanapokelewa mabehewa 'mapya' 14 ya SGR, pia yalipokelewa mabehewa used 35 ya standard gauge railway, jumla ni mabehewa 49.

P
P, Naomba kujua tofauti ya SGR na Standard Gauge Railway.
 
Wale karibu wote waliondolewa kazini sababu hawajafika form four.
 
No hakuna mchezo wowote. Siku ile yanapokelewa mabehewa 'mapya' 14 ya SGR, pia yalipokelewa mabehewa used 35 ya standard gauge railway, jumla ni mabehewa 49.

P
P usichanganye mapya na used phrases otherwise kama unataka ujitwishe usemaji wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…