Mabegi ya Swiss Gear

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,389
Reaction score
2,217
Habarini sana wakuu!

Samahani, nipo hapa Dar naomba msaada wa kuelekezwa duka au kufahamisha wapi au namna naweza kupata hizi Swiss Gear Backpark.

Ahsanteni.
 
Attachments

  • FB_IMG_15257657689126712.jpg
    42 KB · Views: 87
  • FB_IMG_15257657907911994.jpg
    33.1 KB · Views: 81
  • FB_IMG_15257657491239437.jpg
    25.1 KB · Views: 78
nenda Posta ile barabara ya kwenda Holland house. upande huo huo kuna duka la simu na MPesa wana brand nyingi za Mabegi.
 
nenda Posta ile barabara ya kwenda Holland house. upande huo huo kuna duka la simu na MPesa wana brand nyingi za Mabegi.

Samahani mkuu!
Sijapapata hapo mahala hata kujaribu kuangalia kwa Google Map naona ni kama maeneo ya kivukoni.

Msaada wako tena !
 
Samahani mkuu!
Sijapapata hapo mahala hata kujaribu kuangalia kwa Google Map naona ni kama maeneo ya kivukoni.

Msaada wako tena !

pembeni ya mokacity . kabla hujafika benki ya Crdb Holland house.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…