Pale alipotaka comment kwa ID nyingine bahati mbaya akasahau ku log in kwa ID hiyooNakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
Wewe kwanza tengeneza mtandao wako wa mianzi, iutumie huo kuwatukana "mabeberu".
Nitakuona wa maana.
Sio hapa unatumia mtandao wa "mabeberu", kisha unatukana hao hao "mabeberu".
Unajua sehemu gani ya bajeti ya Tanzania ni misaada ya hao unaowaita mabeberu?
Waswahili walisema "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshajichanganya unajijibu kwa ID hii hii.Nakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
Logical non sequitur.Wao pia wanategemea madini yetu
Nadhani utaelewa kwa kina comrade
Stigler imefanyaje mzee baba maana hua mnatoa utabili mwingi mkiwa mjini hukoNionyeshe picha ya Stiglers gorge ikiwa katika ujenzi wa bwawa
Stigler imefanyaje mzee baba maana hua mnatoa utabili mwingi mkiwa mjini huko
Aisee hivi huwa unauelewa wowote wa Dunia au wewe umetumwa kuandika tu ili muradi unasifia! Unalinganisha Iran na Tanzania ....aisee!Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?
Unatumiaje teknolojia ya beberu? Kwa nini usitengeneze yako?Comrade unajibu hoja kwa kupanic
Mabeberu yametuletea teknolojia sisi tunauzia madini
Kisicholeleweka ni kipi
Ondoa upumbavu wako na kujifaragua hapa.Remember,It's not an overnight process
Wekeni picha ya ujenzi wa bwawa ili wananchi waoneStigler imefanyaje mzee baba maana hua mnatoa utabili mwingi mkiwa mjini huko
Mbona mnajiuma uma hahaaa!!...kuwapiga sound WadanganyikaAkuonyeshe wewe kama nani
Kapige Na Kitecno chako
Njoo kisaki halafu uwaombe wahusika wakupeleke ukaone ili uje utoe ushuhuda vizuri maana naona hadithi za Ngoswe mnajitengenezea kichwaniWekeni picha ya ujenzi wa bwawa ili wananchi waone
Beberu ni oxygen, hakuna aliyewahi shirikiana nao akawa fukaraWao pia wanategemea madini yetu
Nadhani utaelewa kwa kina comrade
Wekeni picha ya ujenzi wa bwawa ili wananchi waone
Beberu ni oxygen, hakuna aliyewahi shirikiana nao akawa fukara