MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,152
- 3,967
Acha kudanganya Watu. Iko hivi;China anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela
[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangazaView attachment 2228576View attachment 2228578
Kwanini mnapoambiwa ukweli mnabaki kutoka povu?? Hata mseme nini ukweli hauwezi kubadilika, China ndio taifa linalowapa tafu sio tu nchi ya Tz bali ni bara zima la Africa
Kitu gani unachotumia hme kwenu made in USA , vyote utakuta made in China mpaka hio simu inayotype upuuzi wako ni kwa msaada wa China
Mnapoambiwa ukweli msitokwe na mapovu, sisi wengine never hide urongo
Huyu jamaa anadhani ulaya na u.s.a Ni wajomba na shangazi zetu .eti anasema wanasamehe madeni😆😆😆Mwambie aende mirarani huko akajionee [emoji16][emoji16], maana baada ya hela za wachimbaji kama Serikali inapata hata sent 5 [emoji23]
,[emoji23][emoji16][emoji16]yaani kuna mambo mengi serikali zetu inakumbana nayo Ila haitwambii wananchi inakua ni siri ya serikali, tunakuja kushtukia mara vifurushi vinapanda, mara nauli imepanda ghafla, mafuta bei juu nkHuyu jamaa anadhani ulaya na u.s.a Ni wajomba na shangazi zetu .eti anasema wanasamehe madeni[emoji38][emoji38][emoji38]
Ndiyo mlabahaMlahaba ndio nini bwana.
Kaangalie bajeti yao.? Kwa mwaka afu uje hapa tena. Juzi wanapitisha msaada wa kuipa Ukraine USD 31T changanua hapo. Na kaangalie bajeti yao. UtaelewaUSD 30 trl ndio jumla ya deni Zima la USA bado unasema ni fedha ndogo? Kwa kigezo kipi?
Dogo kama unasoma uwe unasoma kwa utulivu, kama unasikiliza uwe unasikiliza kwa umakini. USD 31t umeiona wapi?Kaangalie bajeti yao.? Kwa mwaka afu uje hapa tena. Juzi wanapitisha msaada wa kuipa Ukraine USD 31T changanua hapo. Na kaangalie bajeti yao. Utaelewa
Nimechanganya ma file. 🤣🤣 ila bado hiyo hela kwa USA ni ndogo mkuuDogo kama unasoma uwe unasoma kwa utulivu, kama unasikiliza uwe unasikiliza kwa umakini. USD 31t umeiona wapi?
Msaada uliopitishwa ni USD40 billion.
View attachment 2230814
Kuna mtanzania yupo Kihensa Semtema anakwambia hakuna mwanadamu aliyewahi kufika Mars wala mwezini.View attachment 2228279
Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi