Barabara hizo unazoziona wewe pesa za wazungu.mpuuzi hata haya huna. Fly over mikopo ya benki ya dunia na varabara zingine pesa za mabeberu. Shule zimejengewa madarasa 1500 kwa pesa za msaada wa uviko kutoka ulaya sio hao unaowasifia acha upumbavu na acha chuki.za kidini hazisaidiii lolote hili taifa dini iwe moyoni mwako na sio kulzimisha, kutusi na kudharau dinj zawatu.China anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela
[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangazaView attachment 2228576View attachment 2228578
oUnasema china Hana mchango kwa taifa maskini .unauahakika na ulichoandika mkuu?
Mwizi ni nani..? Au tupe maana ya mwizi.?Kwani sio wezi mkuu?
Waswahili wanasema dawa ya deni ni nini?🤔Ndio. Mchango wa mchina huwezi ufananisha na nchi za magharibi. China huyu ambae ukishindwa kulipa deni anakamata rasilimali zako. Bajeti ya nchi yetu ina boosted na china au ulaya na marekani..?
o
Hivi kwanini mnapenda sana misaada? Tena mnajisifia kabisa kama Jiwe alivyowaaminisha kuwa unyonge ni jambo la kujivuniaChina anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela
[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangazaView attachment 2228576View attachment 2228578
Mwizi ni nani..? Au tupe maana ya mwizi.?
Ni mtu anayechukua kitu kutoka kwa mtu mwengine bila idhini/makubalianoMwizi ni nani..? Au tupe maana ya mwizi.?
Mimi mwenyewe nashangaa ?😄Hivi kwanini mnapenda sana misaada? Tena mnajisifia kabisa kama Jiwe alivyowaaminisha kuwa unyonge ni jambo la kujivunia
Pia wachina nao pia Wana Rover Mars[Zhurong Rover]Marekani kapeleka rover Mars,inachimba miamba ya Mars kujua Kama palikua na maisha kupitia dna za hiyo miamba
Unaelewa nini maana ya mikopo yenye kulipa wakati sahihi? Alafu in short china alazimishi mtu kukopa kwake ata huyo mmarekani unaye msifia anadaiwa zaidi ya 30Trillion Usd je Kuna kiwanja Cha U.S.A kimechukuliwa na china?🤔We mwehu kweli bajeti ya nchi yako inasaidiwa parefu na hao unao watukana. Huyo china akikusaidia ipo siku atachukua uwanja wa ndege au bandari reference zambia huko nk
Wenzetu wako mbali sana. Sisi wa huku nyanchilili ngoja tuendelee kuwaponda huku hatuna kitu. Mashehe wa buza watakuja huku kupinga. Wakat huohuo waumin wa Muhammad kule uarabuni wanataman wahamie huko USA karibia wote.View attachment 2228279
Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
Hawezi kichukua hata awadai kvp maana anajua wana nguvu. Na kwa USA 30T ni tuhela tudogo saana. Hata bajet ya jimbo moja haitoshi hivyo ni vipesa ambavyo wanaweza kuvilipa bila hata bunge lao kujadili. Mfano wanamsaidia ukraine vita msaada umeidhinishwa US dillara 30TUnaelewa nini maana ya mikopo yenye kulipa wakati sahihi? Alafu in short china alazimishi mtu kukopa kwake ata huyo mmarekani unaye msifia anadaiwa zaidi ya 30Trillion Usd je Kuna kiwanja Cha U.S.A kimechukuliwa na china?🤔
Sasa wapi walikuibia.?Ni mtu anayechukua kitu kutoka kwa mtu mwengine bila idhini/makubaliano
Kulipa kuna msamaha piaWaswahili wanasema dawa ya deni ni nini?🤔
Ukienda kukopa bank ukishindwa kulipa wanafanya nini?
Kulipa kuna msamaha pia
Bajeti gani hio, mnajua hao magharibi wanawadai bei gani?? Hizi hela za bajeti unafkri hao magharibi wanawapa bure, kaa ukisifia bajeti wakati wenzako wanatafuna hela, Bora hizo bank za China wanajenga miundombinu thn inajilipa wenyewe baada ya kipindi flani, kuchukuliwa kwa uwanja wa ndege ni makosa ya Government zenu na sio China, Lazima itakua mmekiuka mikataba au makubaliano, Kwanza unajua mpaka 2019 Iran ndio nchi ambayo inayoongoza kuwadai deni kubwa ??We mwehu kweli bajeti ya nchi yako inasaidiwa parefu na hao unao watukana. Huyo china akikusaidia ipo siku atachukua uwanja wa ndege au bandari reference zambia huko nk
Waulize Governments za Africa hilo swali, mm sitoweza kukujibu lakini ninavyoelewa mm Africa tumejaaliwa kila kitu but most of African countries are corrupted since miaka ya 80 au tokea tulivyopata Uhuru, tuna history ya kutawaliwa but haimaanishi kwamba till now tunategemea mikopo ya kipuuzi tena kwa masharti hatari,Hivi kwanini mnapenda sana misaada? Tena mnajisifia kabisa kama Jiwe alivyowaaminisha kuwa unyonge ni jambo la kujivunia
Kwanini mnapoambiwa ukweli mnabaki kutoka povu?? Hata mseme nini ukweli hauwezi kubadilika, China ndio taifa linalowapa tafu sio tu nchi ya Tz bali ni bara zima la AfricaBarabara hizo unazoziona wewe pesa za wazungu.mpuuzi hata haya huna. Fly over mikopo ya benki ya dunia na varabara zingine pesa za mabeberu. Shule zimejengewa madarasa 1500 kwa pesa za msaada wa uviko kutoka ulaya sio hao unaowasifia acha upumbavu na acha chuki.za kidini hazisaidiii lolote hili taifa dini iwe moyoni mwako na sio kulzimisha, kutusi na kudharau dinj zawatu.
Mashoga yamejaa Uarabuni huko na kwa hapa nchini yamejaa Zenji na Mikoa ya pwani (kwenye masalia ya waarabu)
,[emoji23][emoji23][emoji23]kabisa yaani, eti tufate mila za manasara na mayahudi waliolaaniwa [emoji16]? Kwakweli hapana