Bussiness Man
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 213
- 244
Habari za kutwa
. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Napenda kuwajulisha wale wanaojenga kuwa kuna mabati ya migongo mipana yanauzwa. yapo kama mabati mia moja yana urefu wa mita tatu (futi 10 na upana sentimita 100) rangi yake ni nyekundu isio kali sana,na bei yake ni sh 30,000 kwa bati moja. Ni mabati yanayofahamika kama mabati ya south Africa.
Nitafikisha unapoyahitaji Kwa maeneo ya Dar.
Bei ya dukani wanauza wanauza 12,000 Kwa Mita moja.
Kwa wanaohitaji tuwasiliane kwa namba 0774560000