ndetia JF-Expert Member Joined Jun 9, 2012 Posts 615 Reaction score 669 Aug 24, 2016 #21 Miss Natafuta said: niunganishe na hivo viwanda basi jamani naomba Click to expand... sawa ni pm
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Aug 24, 2016 #22 Miss Natafuta said: dsm Click to expand... Nenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa
Miss Natafuta said: dsm Click to expand... Nenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 Aug 24, 2016 Thread starter #23 QUIGLEY said: Nenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa Click to expand... shukrani sana
QUIGLEY said: Nenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa Click to expand... shukrani sana
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,553 Aug 24, 2016 #24 QUIGLEY said: Nenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa Click to expand... ile bati / kigae cha ANDO kinapata ukungu baada ya muda mfupi. labda kama watakuwa na rangi ya Charcoal grey. kidogo inaweza dumu
QUIGLEY said: Nenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa Click to expand... ile bati / kigae cha ANDO kinapata ukungu baada ya muda mfupi. labda kama watakuwa na rangi ya Charcoal grey. kidogo inaweza dumu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Aug 24, 2016 #25 NYANYADO said: ile bati / kigao cha ANDO kinapata ukungu baada ya muda mfupi. Click to expand... Mkuu wanazo grade mbili mkuu
NYANYADO said: ile bati / kigao cha ANDO kinapata ukungu baada ya muda mfupi. Click to expand... Mkuu wanazo grade mbili mkuu
family kiwale Member Joined Jul 19, 2016 Posts 13 Reaction score 4 Aug 24, 2016 #26 Tsh.13000 kwa mita1 G28 mabati ya sun share tupo tazara Phone: 0762525846
ndetia JF-Expert Member Joined Jun 9, 2012 Posts 615 Reaction score 669 Aug 24, 2016 #27 QUIGLEY said: Mkuu wanazo grade mbili mkuu Click to expand... okay,grade imara na ya ukungu?
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,553 Aug 24, 2016 #28 ndetia said: okay,grade imara na ya ukungu? Click to expand... NABAKI AFRICA ,pia anauza vigae vya Decra ni vizuri kwa kuezekea hilo ghala lako mleta mada.
ndetia said: okay,grade imara na ya ukungu? Click to expand... NABAKI AFRICA ,pia anauza vigae vya Decra ni vizuri kwa kuezekea hilo ghala lako mleta mada.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Aug 24, 2016 #29 ndetia said: okay,grade imara na ya ukungu? Click to expand... Hapo kwa ukungu labda vumbi la wazo hill, mimi nimeezekea kitambo na ziko poa.
ndetia said: okay,grade imara na ya ukungu? Click to expand... Hapo kwa ukungu labda vumbi la wazo hill, mimi nimeezekea kitambo na ziko poa.