Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
Miss natafuta habari yako haijitosheleziYanahitajika mabati mengi sana kupaua godown kubwa sana. Weka quatation hapa na ubora wa bati tuwasiliane fasta
AWEKE HAPA HAPA NAMBA YAKE NA MAELEZO YAKE YAWE YAKUTOSHA ILI APIGIWEMi ninayo ya Dragon ya Mchina.. Niwekee namba inbox nikupe bei poa...
sijui viwanda vilipo zaidi ya alafmpendwa hapo ungewatafuta wanao deal na mabati kabisa kwa kuwatembelea kiwandani kwao......utapata quotations na bei poa na utapata aina zote za mabati na ubora wake na utachagua mwenyewe.
nini hujaelewa mkuu?Miss natafuta habari yako haijitoshelezi
UNATAKA BATI NGAPI? KESHO UJE KIWANDANI KABISAAsijui viwanda vilipo zaidi ya alaf
Mambo muhimu unayotakiwa kuweka wazi;Yanahitajika mabati mengi sana kupaua godown kubwa sana. Weka quatation hapa na ubora wa bati tuwasiliane fasta
Uko mkoa gani nikuelekeze viwandasijui viwanda vilipo zaidi ya alaf
nyingi sana naomba namba za viwanda kama 5 hv hapa bongoUNATAKA BATI NGAPI? KESHO UJE KIWANDANI KABISAA
dsmUko mkoa gani nikuelekeze viwanda
Mi ninayo ya Dragon ya Mchina.. Niwekee namba inbox nikupe bei poa...
ngoja nikutumie namba ya boss wanguMi ninayo ya Dragon ya Mchina.. Niwekee namba inbox nikupe bei poa...
ALAF nawakubali banda langu liko na zaidi ya miaka mitano uko Lupembe bado liko safi watembelee apa:sijui viwanda vilipo zaidi ya alaf
bei zao zipo juu sana mkuuALAF nawakubali banda langu liko na zaidi ya miaka mitano uko Lupembe bado liko safi watembelee apa:
ALAF Limited - Homepage
Quality mkuu iko vizuri. Huhitaji kupaka rangi hata baada ya miaka 50bei zao zipo juu sana mkuu
mara tatu ya wenzao sokoni
ninayo ya kampuni tano za hapa Tanzania, ALAF, DRAGON, SUNSHARE,AFRINA NA TIFFO, Zote zinabei tofautiYanahitajika mabati mengi sana kupaua godown kubwa sana. Weka quatation hapa na ubora wa bati tuwasiliane fasta
miaka 50 nitakuwepo? nataka ya bei nafuu mkuu watakaokuwepo kipindi hicho watabadilishaQuality mkuu iko vizuri. Huhitaji kupaka rangi hata baada ya miaka 50
niunganishe na hivo viwanda basi jamani naombaninayo ya kampuni tano za hapa Tanzania, ALAF, DRAGON, SUNSHARE,AFRINA NA TIFFO, Zote zinabei tofauti
Izo chumvi sasa wakati nanunua wao walikuwa juu kwa 1000 bati zao wanatumia tech ya aluzinc sijui ambayo angalau kutu inadunda.bei zao zipo juu sana mkuu
mara tatu ya wenzao sokoni