Mabati ya migongo midogo ya rangi

Mabati ya migongo midogo ya rangi

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
226
Reaction score
83
c26bd424c22dba62e22e360d674c8fdb.jpg

Bati la CORRUGATED COLORFULL/MIGONGO MIDOGO ZA RANGI
28e54dc668c9c72804cca9ed607bc6aa.jpg

Bati la migongo midogo la rangi(corrugted colorfull) ni bati kama lile la zamani la silver,sema haya yanatengenezwa na coil yenye rangi.

Yankuwa na migongo mdigo mifmdogo kuanzia 9-12.

Kwa bati la sunshare hutengeneza bati hili kwa kiwango cha hali ya juu,na imara sana,kukinganisha pia na bati zingine

51388d6e3a61647297389c75ac018ebe.jpg

-Upana(overall width). Mabati ya migongo midogo ya rangi ya sunshare yapo katika upana wa aina mbili ,upana wa 90cm sawa na 900mm, na upana wa 86cm sawa na 860mm.

1cff8bedecd4157a108b5f431670f2c4.jpg

Upana wa kuezekea(effective cover)
Za upana wa 90cm effective cover width yake ni 84cm

Za upana wa 86cm effective cover yake ni 81cm
6849e5b1d7105db51bcc5e6e0537742e.jpg

-Gauge yanapatikana kuanzia 26gauge,28gauge na 30gauge.

-Urefu linatengenezwa kuanzia urefu wa meter moja mpaka meter 12,kulingana na vipimo utakavyo

-material ni alunzinc ,

-Rangi ni blue,skyblue,green,brickred,charcoalgray,red,tile red na brilliant white .hazipauki.kuna maabara ya kupimia ubora na upaukaji wa rangi
824895fc499e12bd9e1b7cdc410b1b55.jpg

Bei:hutofautiana kulingana na gauge,pia na upana wa bati
Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 90cm ya rangi

gauge28 ni 28,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 25,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft
........................................................
Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 86cm ya rangi

gauge28 ni 26,100/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 22,800/piece ya urefu 3meter/10ft

Call 0656-816616,0766-004940 kwa maelezo zaidi
 
Asante Sana mkuu kwa ujumbe wako
Unapatikana wapi?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ft 10 bandru gauge 28 au 30 bei gan
 
Haya ndio matangazo tunayotaka.
Tangazo limekamilika kila idara yani.
Big up mkuu na kila la kheri ktk hii business.
Na wengine muige mfano huu.
Asnte kaka atleast u apprct c wengine wanaleta hadi siasa hapo

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Mpka unapiga simu unakuwa na full details na masomo mengine yanakuja

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Hongera mkuu kwa elimu nzuri Sana ya kujua ni bati gani ni bora, pia tangazo limekamilika sio wale WA njoo PM utapeli na magumashi kibao.
 
Mpendwa Mteja! Sunshare Investment Ltd inakujulisha kwamba kuanzia wiki ijayo kutakuwa na ongezeko kidogo la Bei kufuatia kupanda kwa gharama za kuingiza Bidhaa nchini na ushuru bandarini. Hata hivyo kampuni inakuhakikishia Bidhaa bora na huduma nzuri. Daima tupo kwa ajili ya Ubora wa Maisha yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ONGEZEKO KIDOGO KWA BATI LA SUN SHARE.
kwa price list ya kiwanda.

Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)

-upana wa 107cm na 98cm

gauge28 ni 13,300/meter

gauge30 ni 11,900/=
.....,..................................................
It5-upana wa 87cm

gauge28 ni 9,900/meter

gauge30 ni 8,800/ meter
........................................................

It4 upana wa 81cm

28gauge ni 9,200/=meter

30gauge 8,100=/meter
........................................................
Mabati ya mikunjo(Versatile) ,(roma)
upana wa 110cm

gauge 28 ni 14,300/=meter

gauge30 ni 12,500/= meter

Royal-Roma 16,500/=meter
........................................................
Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 90cm ya rangi

gauge28 ni 9,900/meter

gauge30 ni 8,800/meter
........................................................
Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 86cm ya rangi

gauge28 ni 9,200/meter

gauge30 ni 8,100/meter
........................................................
Mabati yenye chenga za miamba(natural stone coated)

ni 20,000/ piece
........................................................
-Misumali ya bati kila rangi tzs 10,000/kg inakaa mia moja
........................................................
-Kofia na valley
14,000/= za urefu wa 3meter
.....................,..................................
-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, red,etc
-Urefu utakao ww kuanzia meter moja mpaka 12meter kwa bati moja.
-Warranty 15 years k
-Yamethibitishwa na tbs
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0713637508
,0753637508,0656-816616

Sent using Jamii Forums mobile app
 
48d8ac23890a355bac488a98d01b71a7.jpg

JMK ROYAL SERVICES

-Ukitaka kupata elimu kuhusu bati

-kuuziwa bati kwa price list ya kiwanda

-gharama za usafiri

-kuepeuka usumbufu

-mabati bora na imara.

-Yamethibitishwa na tbs

-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,

-Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0713637508,0753637508
 
Back
Top Bottom