miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,021
Mi naomba msaada bati ambazo ni nzuri sio za bei ya juu wala ya chini,ya Quality ya kwaida ,ya rangi hizi za kwaida G 28 au G 30 kwa mbeya mjini napata wapi msaada plz
ezeka kitu cha saus
5 years later!!...umemuelewa sasa?Kwa nini unasema Magufuli atajenga viwanda kama hivyo?
Nilitarajia watu wa kiboko waje kutueleza tufanyeje na hayo mabati yao. Kwa kuwa hawajitokezi naituma kwao nikipata email ya ofisi yao pamoja na TBS
Kiboko ni sheeda. Jirani yangu alinunua hakuyatumia kama miezi 6. Siku anataka kuyatumia vile yalivyo weka rangi zilibanduka yakawa kama batikiNimenunua mabati ya kiboko G28 lakini wakati wa kuezeka fundi akanieleza kuwa hayakai kwenye usawa kama ailvyozoea.
Nilipoyapima nikapata vipimo vifuatavyo
Upana: sehemu ya chini ni cm 82 na sehemu ya juu ni cm 86
Diagnal: moja ni cm 310 na nyingine ni cm 312
Kwa mshangao mkubwa mabati haya yana nembo ya TBS.
Je nifanyeje? TBS mnakagua kiwanda hiki?
Kwa tanzania bati imala ni za ALAF tu mtu asikudanganye.Dah sasa nitalazimika kununua bati zangu hapa hapa UK