Za pasaka wanabodi,ningependa kujua kama kuna mwenye experience ya mabati ya dragon kwa uimara na ubora wake..najua kiwandani wanatoa guarantee ya miaka 5 lakini ningependa zaidi kujua kwa wenye experience nayo kwa kipindi kirefu zaidi..
Mchina ni mchina siku ukienda muulize 5 years warranty inacover vitu gani.
Na je iko na limitation kama ni coast au mbali na cost.
Kwa ushauri nunua toka ALAF wako kwa game toka 1960 Mchina wa juzi tuu asikupagawishe