bigone enterprise
Member
- May 20, 2016
- 25
- 6
About Big one enterprises
Bigone logistic inakupa suluhisho la kupaua kuanzia ushauri
wa kukupigia hesabu mabati mangapi yanahitajika katika nyumba yako kwa njia ya ramani au kufika site kwako bila gharama yoyote,ushauri wa bati gani bora kulingana na budget yako,utaletewa bati mpka site kwako maana baada ya kununua hakuna gharama za ziada
Tutakufuata popote pale uwe officen au site kwa ajili ya kushauriana,kukupa uchaguzi wa kipi bora kwa wateja wa hali zote na mahitaji yote,pia tuna mafundi wa gharama nafuu za upauaji zaidi ya watano utakayeridhika na cotation zake.
Tunakupa zaidi ya unachohitaji,zaidi ya kiwanda,zaidi ya agent,unatupa kazi unasubiri mzigo, gharama za ziada hakuna baada ya kununua .
Piga 0656-816616