MAbasi ya Usiki:Visa nilivyo kutana navyo!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,549
Reaction score
27,483
Baada ya mabasi kuanza safari za Usiku, nimekuwa nikisafiri sana hasa kama nikikosa ndege. Mabasi hayo yana raha na karaha, hizi ni baada ya karaha;

  1. Jirani yangu anabdili nepi ya mtoto wa miaka 4 , kitu kinanuka balaa, safari nzima kuziba mdomo.
  2. Jirani ile tumefika tu Kabuku kabla ya Segera pale michungwani tukitoka dar kuelekea Arusha, akanitapikia, alikuwa amekula makande, aloo si poa.
  3. konda kila saa ananiuliza kwanguvu jina langu na kituo ninachoshukia.
  4. Gari ina AC, watu wanaziba zile buttons, joto kali unasinzia kwa kukosa oxygen.
  5. Gari inasimama hotelini, chips kavu elfu 5 na mshikika mmoja elfu 2.
  6. WAkati tukifika hotelini, derebva anashuka fasta, wao wanatwambia kula dakika 10, wameandaliwa na wanakula kwa muda ila abiria wa mwisho kushuka hata hajafika msalani anaambiwa muda umeisha gari inaondoka.
  7. Kukaa siti moja na mkaka, tangu amepanda ameweka tunini twake masikioni, hata salamu hamna , masaa 8 hatujaongea eti tunafika Tengeru ananiuliza hapa ni wapi nikamwambia sijui labda ni morogoro.
 
Hahahah namba saba ya moto
 
Kumbe wewe ni demu kwa mujibu wa namba 7
 
Back
Top Bottom