Umesema vema. Niliwaza sana hii kitu na inakera. Ilitakiwa atleast 80kphHivi haya mabasi ya UDART ni sahihi kuitwa ya mwendokasi wakati limitation ya speed ni 55km/h hii ni kero maana uongo wa waziwazi bora yaitwe mabasi ya njia maalum,au kisiasa HAINOGI?
Mwendokasi wakati hata bajaji hayaipati, labda mwendokasi kwa sababu ya keleleHivi haya mabasi ya UDART ni sahihi kuitwa ya mwendokasi wakati limitation ya speed ni 55km/h hii ni kero maana uongo wa waziwazi bora yaitwe mabasi ya njia maalum,au kisiasa HAINOGI?