MABASI YA UDART YAITWE YA NJIA MAALUM

nyongolwe

JF-Expert Member
May 25, 2020
2,318
3,025
Hivi haya mabasi ya UDART ni sahihi kuitwa ya mwendokasi wakati limitation ya speed ni 55km/h hii ni kero maana uongo wa waziwazi bora yaitwe mabasi ya njia maalum,au kisiasa HAINOGI?
 
Mwendokasi wakati hata bajaji hayaipati, labda mwendokasi kwa sababu ya kelele
 
Back
Top Bottom