Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,560 Reaction score 14,312 Aug 15, 2021 #1 Salaam. Nina Safari ya kutoka Mwanza kwenda Mbeya hivi karibuni. Natambua hii ni moja Kati ya Safari ndefu zaidi Kwa mabasi Tanzania. Naomba kupata taarifa updated kuhusu usafiri wa njia hii , hasa hasa nauli, basi zuri na muda wa kufika Mbeya.
Salaam. Nina Safari ya kutoka Mwanza kwenda Mbeya hivi karibuni. Natambua hii ni moja Kati ya Safari ndefu zaidi Kwa mabasi Tanzania. Naomba kupata taarifa updated kuhusu usafiri wa njia hii , hasa hasa nauli, basi zuri na muda wa kufika Mbeya.
D Dodoma leo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,336 Reaction score 1,660 Aug 15, 2021 #2 Andaa 60000 to 55000 Isamilo, n.k
Kiplayer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 1,355 Reaction score 2,261 Aug 15, 2021 #3 Basi zuri ni premier via Dodoma Iringa, muda wa kufika kuanzia saa tisa usiku, nauli andaa elfu 50.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,501 Reaction score 74,252 Aug 15, 2021 #4 Bus Zipo Nyingi Sana Premium Bus Fikoshi Bus Nauli Wengine Watakuja Kukupa Nilizokutajia Mwanza Via Dodoma ~Mbeya
Bus Zipo Nyingi Sana Premium Bus Fikoshi Bus Nauli Wengine Watakuja Kukupa Nilizokutajia Mwanza Via Dodoma ~Mbeya
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,806 Reaction score 7,413 Aug 15, 2021 #5 Malori, unafika umechoka. Uwambie waandae maji ya moto.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,661 Reaction score 97,356 Aug 15, 2021 #6 Basi gani zuri la Mwanza - Mbeya?
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,560 Reaction score 14,312 Aug 15, 2021 Thread starter #7 Mad Max said: Basi gani zuri la Mwanza - Mbeya? Click to expand... Thanks lakin nahtaj taarifa za karibun
Mad Max said: Basi gani zuri la Mwanza - Mbeya? Click to expand... Thanks lakin nahtaj taarifa za karibun
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,501 Reaction score 74,252 Aug 15, 2021 #8 Orketeemi said: Thanks lakin nahtaj taarifa za karibun Click to expand... πππ
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,661 Reaction score 97,356 Aug 15, 2021 #9 Wapigie hawa: 0737866209/0759 556 267 Login β’ Instagram Atleast wanajua mabus naonaga Insta wanapost kila bus limefika somewhere dakika ya ngapi.
Wapigie hawa: 0737866209/0759 556 267 Login β’ Instagram Atleast wanajua mabus naonaga Insta wanapost kila bus limefika somewhere dakika ya ngapi.
Tachu hano JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,627 Reaction score 2,874 Aug 15, 2021 #10 Hiyo route ina mabus ya company tatu Premier line Isamilo Fikoshi Bus nzuri binafsi panda premier angalau yanajitahidi kuwahi. Nauli andaa 60,000/= Kufika mbeya utafika alfajiri . NB . Route haina bus za kimayai mayai
Hiyo route ina mabus ya company tatu Premier line Isamilo Fikoshi Bus nzuri binafsi panda premier angalau yanajitahidi kuwahi. Nauli andaa 60,000/= Kufika mbeya utafika alfajiri . NB . Route haina bus za kimayai mayai
Ngai Moko JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 1,403 Reaction score 1,876 Aug 15, 2021 #11 Kuna Fikosh Isamilo Premier Basi zote ni kama zinalingana uzuri, na andaa 50,000 Muda wa kufika ni kuanzia saa10 usiku mpaka saa11 alfajiri.
Kuna Fikosh Isamilo Premier Basi zote ni kama zinalingana uzuri, na andaa 50,000 Muda wa kufika ni kuanzia saa10 usiku mpaka saa11 alfajiri.