Mabasi ya Modern Coast

Mabasi ya Modern Coast

Mwaka jana niliwahi kupanda moja ya haya mabasi kutoka Dar kwenda Mombasa lakini niliona ni bus la kawaida sana. Labda kama inategemea na bus linalokuwepo siku hiyo.

Yanaonekana kama picha husika ama yapotofauti na ulilolipanda
 
Mwaka jana niliwahi kupanda moja ya haya mabasi kutoka Dar kwenda Mombasa lakini niliona ni bus la kawaida sana. Labda kama inategemea na bus linalokuwepo siku hiyo.

Mkuu yapo aina nyingi sana, wanazo hadi Nissani, inategemeana, ila kwa safari za Dar to Nairobi sio makali kama ya Mombasa to Nairobi, yaani wanayo leta huku sio makali sana labda ya Dar to Nairobi, but Nairobi to Kampala na Mombasa ni shida
 
naona unawafanyia marketing sio-tz mbona yapo mabasi mazuri zaid ya hayo,au unafahama dar express tu?
 
Nasiki hata huku SHABIBI nayy siameleta DAR to DOM kwa Nauli ya elf 35

Mkuu Bongo hakuna na kwa sasa mwenye mabasi makari ni Dar express ila nayo tatizo kubwa liko kwenye siti zinabana sana, yaani huwezi kunjua siti na ukalala, hayo ya Shabiby si ni mayutong? hakuna kitu pale siti za kubana kama kawaida, wapiga debe.

Hawa jamaa hata tiketi zao ni online, na kwa safari za Dar to Nairobi kule Korogwe wewe unafanya kusmea unakula nini sio maswala ya kwenda kupandishana foleni wao wanapiga simu pamema msosi unaandaliwa wakifika pale wanabeba na Dereva pekee ndo anaye kula faster nyie wengine mtapiga msosi ndani ya basi
 
Hahaa wana safari za Nairobi to Dar pekee na Nairobi to Mwanza ila safari zao nyingi ni za Nairobi to Mombasa na uganda pia
Umesahau kwa wajomba "waja leo warudi leo" TA-DAR route zipo kama nane kwa siku, pia Dar-Mombasa.
 
MURUSI nikusahihishe kidogo ,modern coast pia wanaroute ya Dar to Mombasa
 
Last edited by a moderator:
Shabiby dar-dom
 
Attachments

  • 1451143998699.jpg
    1451143998699.jpg
    54.8 KB · Views: 248
  • 1451144097595.jpg
    1451144097595.jpg
    56.4 KB · Views: 209
  • 1451144114736.jpg
    1451144114736.jpg
    38.7 KB · Views: 267
  • 1451144132166.jpg
    1451144132166.jpg
    50.7 KB · Views: 271
Shabiby 2x1
 
Attachments

  • 1451144492027.jpg
    1451144492027.jpg
    47.3 KB · Views: 327
Kabla hujachagua basi.. nenda ubavuni mwa basi upende wa kushoto utakuta sumatra wameandika madaraja ya mabasi.. madaraja yapo matatu.. kuna daraja la kawaida.. la kati.na la juu..
Daraja la juu yapo mabasi machache sana na ndio hayo nauli yake ipo juu sana..
 
Mkuu Bongo hakuna na kwa sasa mwenye mabasi makari ni Dar express ila nayo tatizo kubwa liko kwenye siti zinabana sana, yaani huwezi kunjua siti na ukalala, hayo ya Shabiby si ni mayutong? hakuna kitu pale siti za kubana kama kawaida, wapiga debe.

Hawa jamaa hata tiketi zao ni online, na kwa safari za Dar to Nairobi kule Korogwe wewe unafanya kusmea unakula nini sio maswala ya kwenda kupandishana foleni wao wanapiga simu pamema msosi unaandaliwa wakifika pale wanabeba na Dereva pekee ndo anaye kula faster nyie wengine mtapiga msosi ndani ya basi

Shabiby na Ratco wana mabasi makali sana.. nauli 35 ..
Shabiby linaenda dom.toka dar na ratco linaenda Tanga..
Hayo mabasi hata Dar express hana..
 
Mkuu Bongo hakuna na kwa sasa mwenye mabasi makari ni Dar express ila nayo tatizo kubwa liko kwenye siti zinabana sana, yaani huwezi kunjua siti na ukalala, hayo ya Shabiby si ni mayutong? hakuna kitu pale siti za kubana kama kawaida, wapiga debe.

Hawa jamaa hata tiketi zao ni online, na kwa safari za Dar to Nairobi kule Korogwe wewe unafanya kusmea unakula nini sio maswala ya kwenda kupandishana foleni wao wanapiga simu pamema msosi unaandaliwa wakifika pale wanabeba na Dereva pekee ndo anaye kula faster nyie wengine mtapiga msosi ndani ya basi
Mkuu umeamua kujitoa ufahamu au kweli hujui?.unasema mwenye mabasi mazuri bongo ni dar express pekee?,labda kama unaongelea route ya dar-nairobi yawezekana Dar express akawa ndo anabasi nzuri zaid.Lkn kama umezunguka mikoa yote Tz utaelewa kwamba kwamba hayo mabasi ya Modern Coast na Dar express unayoyasifia ni ya kawaida saana.Kwanza kuna mabasi ya Shabiby,Dar-Dodoma ni mazuri,yana seat nzuri na huduma nzuri sana kuliko hizozilizopo kwenye hiyo madern coast,pitia picha za mabas ya shabbiby zilizowekwa na mdau hapa.Pia kuna baadhi ya mabasi ya kampuni ya Super Feo,Dar-Songea pia yana uzuri na sifa zaidi ya hizo za hilo basi lako.Pia kuna baadhi ya mabasi ya kampuni ya RATCO yana sifa kama hizo ulizoziweka hapo.Haya ni baadhi ya makampuni ya mabasi ya Tz yenye mabasi ambayo yana sifa na ubora unaofanana au zaidi ya sifa za madern Coast.lkn naamini kuna kampuni nyingi zaidi ya hizo.
 
Haya ni Mabasi ya Kenya kama sikosei ingawa yapo yenye usajili wa Tanzania na wana root ya Dar to Nairobi na kwa kenya wana safari kibao ikiwemo Nairobi to Mombasa.
Haya mabasi kwa kweli ni veru luxury nimebahatika mara mmbili kuapnda mabasi yao, na kwa kweli Tanzania bado sana wale wakina Dar express ni cha mtoto kwa hawa jamaa.
CHEKINI HIZO SITI ZAO ZILIVYO
normal-interior-modern-coast.jpg

Hiyo ni siti ndani ya basi unaweza lala, sasa njoo kwenye basi zetu kama unaweza kunjua siti kiasi hicho
mash.jpg

Image-courtesy-of-www.Kenyacarbazaar.com_.jpg
Kwa miaka mingi mabasi ya Nairobi / Mombasa ni mazuri sana, yalikuwepo yaliyokuwa na chumba binafsi! Sisi kwenye fani ya usafiri si wabunifu.
 
Back
Top Bottom