Mabasi ya mikoani kuanza safari saa 11 alfajiri

Kufikiria ni kazi sana...jifunze kufikiria....mabasi yanatoka kwa mda mbalimbali...saa 12 ssa 1,saa 2 na kuendelea...unaoanda basi kulingana na uwezo wako kifedha na mda gani unataka kuondoka na kwanini
naona umeamua kuandika tu baada ya kushiba..kuna basi la mwanza la saa moja au umevimbiwa!?
 
naona umeamua kuandika tu baada ya kushiba..kuna basi la mwanza la saa moja au umevimbiwa!?
Upuuzi wako ni kufikiria kwa hisia kama mmama,hilo tu. Hatupo kwenye trip moja tu ya mwanza, tunazungumzia uamuzi kwa ujumla...faid zake kwa ujumla na hasara zake kwa ujumla...kufikiria ni kazi jifunze taratibu kufikiria vitu kwa marefu na mapana...
 
Upuuzi wako ni kufikiria kwa hisia kama mmama,hilo tu. Hatupo kwenye trip moja tu ya mwanza, tunazungumzia uamuzi kwa ujumla...faid zake kwa ujumla na hasara zake kwa ujumla...kufikiria ni kazi jifunze taratibu kufikiria vitu kwa marefu na mapana...
kwa hiyo trip ya mwanza haihusiki katika hilo tangazo!?..na ya mbeya pia..kuna tija kuwafurumusha watu usiku wa manane kuwahi gari badala ya kuruhusu gari litembee usiku!!??..unafikiri sawasawa au upo kwenye hedhi!!?
 
kwa hiyo trip ya mwanza haihusiki katika hilo tangazo!?..na ya mbeya pia..kuna tija kuwafurumusha watu usiku wa manane kuwahi gari badala ya kuruhusu gari litembee usiku!!??..unafikiri sawasawa au upo kwenye hedhi!!?
We si ajabu ulilawitiwa utoto sio akili zako hizi...
 
Mzalendo mvaa lebo za bendera naona hapa ameweza, barikiwa Lugola
 
We si ajabu ulilawitiwa utoto sio akili zako hizi.../QUOTE]
.mtu akilawitiwa utoto akili zake zinakuaje,uliziona wapi,alikuhadithia nani!?..mzee wako!!?..tukirudi kwenye hoja yetu ni kwamba umeona wazimu wako wewe na hao waliofanya hayo maamuzi
 
Wanaongeza machungu tu kwa abiria, usafiri wa mabasi unageuka kuwa kama wa ndege. Hivi abiria anayeishi Chanika atatoka saa ngapi huko ili kufika Ubungo Terminal? Nasikia pia stendi ya Ubungo inahamishiwa Mbezi, abiria kutoka Kigamboni, Chanika, Gongolamboto itabidi walale stendi.

Vv
Abiria wa Mbali na wilaya ya Ubungo itambidi alale maeneo ya karibu na stendi ili kuchangia uchumi, mbona mikoani watu hawalalamiki stendi kuwa mbali na wao?
 
Upuuzi wako ni kufikiria kwa hisia kama mmama,hilo tu. Hatupo kwenye trip moja tu ya mwanza, tunazungumzia uamuzi kwa ujumla...faid zake kwa ujumla na hasara zake kwa ujumla...kufikiria ni kazi jifunze taratibu kufikiria vitu kwa marefu na mapana...
We huwa hausafiri safari zako mwisho Mbagala na Kiluvya, ndo maana umevimbiwa chips unaleta pumba hapa
 
haina uzuri wowote..fikiria mtu anaishi mbagala,itampasa kutoka saa ngapi mbagala ili saa 11 awe ndani ya gari!?..usafiri muda huo mbagala kwenda ubungo upo? usalama upo?..hapo ubungo hapana miundombinu ya kubeba abiria wote watakaosafiri alfajiri
Mbona kama mnasafiri na pipa hata kama linaondoka saa nane tisa usiku huwahi. Mnafikaje? Kasubirie basi stand
 
Naibu waziri wa ujenzi, mawasiliano na uchukuzi katoa amri mabasi yote yanayoenda mikoani yaanze safari saa 11 alfajiri.

Chanzo TBC1 habari

------

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditye amesema baada ya wiki mbili mabasi yanayoenda mikoa mbalimbali nchini yataanza safari zake saa kumi na moja alfajiri.

Nditiye alitoa kauli hiyo juzi alitembelea kituo cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo (UBT), Dar es Salaam kisha kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali wakiwamo wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa).

Alisema hakuna sababu ya kuwazuia wamiliki wa mabasi wanaotaka magari yao yaanze safari saa kumi na moja alfajiri ya kwa sababu maeneo mengi ya nchi yapo salama kwa sasa.

Nditiye alitoa maelekezo kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) na polisi kujipanga ndani ya wiki moja kuhakikisha magari yanayotoka Dar es Salaam kwenda mikoani na yale yanayotoka Mwanza kwenda mikoa mingine yanayotaka kuondoka saa 11 alfajiri yanafanya hivyo.

“Pia, magari yanayotoka Mbeya, Arusha na Dodoma yaanze safari zake saa 11 alfajiri. Tutaendelea kuongeza mikoa ambayo magari yatakiwa kuondoka saa 11 alfajiri kwa jinsi mtakavyoanza na mikoa hii.

“Ukweli ni kwamba sasa hivi maeneo mengi ya nchi yapo salama na hakuna sababu ya mabasi kuondoka saa 12 asubuhi. Muondoke saa 11 alfajiri, jipangeni na wekeni utaratibu mzuri wa magari kuondoka muda huo,” alisema.

Alisema kumekuwa na usumbufu hasa wa mabasi yanayotakiwa kuondoka saa 12 asubuhi kutokana na ukaguzi kufanyika asubuhi muda ambao yanapaswa kuondoka jambo ambalo si sahihi.

Alisema licha ya polisi kutoa maelekezo kuwa yakaguliwe siku moja kabla ya safari kwa ajili ya usalama wa abiria, lakini wamiliki wamekuwa wakikaidi agizo hilo.

“Natoa wito kwa wamiliki wa kupeleka mabasi yao siku moja kabla kwa ajili ya ukaguzi na kuweka stika na asubuhi yakipakia abiria yaondoke kama muda ambao tutakuwa tumekubaliana.
Katibu mkuu wa Taboa, Enea Mrutu alisema wameyapokea kwa mikono miwili maelekezo ya naibu waziri kwenda kwa Sumatra na Polisi na kusema ni uamuzi mzuri wa Serikali.

“Tutamwandikia barua rasmi ya kumpongeza waziri. Kikubwa tunawaomba wahusika walitekeleze hili kwa sababu lilishasemwa sana huko nyuma lakini halikutekelezwa, sasa tuna imani litatekelezwa.

“Niseme tu, jana (juzi) asingekuja Nditiye, Alhamisi kusingekuwa na huduma ya mabasi, huu ndio ulikuwa msimamo wa wajumbe wa mkutano. Lakini tunashurukuru ujio wake na tumewasilisha malalamiko yetu kwa Serikali,” alisema Mrutu.

Alisema ingawa hawakupata taarifa mapema kama atakwenda kutembelea kituo hicho, wajumbe walipanga kukogoma kwa sababu baadhi ya madai yao hayajashughulikiwa.

Alitaja madai hayo kuwa ni ukaguzi wa magari usiofuata mpangalio, “Ubungo kuna ukaguzi, ukifika Kibaha ukaguzi, sasa kwa huu mwendokasi wa 80 hatuwezi kufika mikoani kwa wakati ndio maana tulipeleka mapendekezo liangaliwe upya,” alisema.

Madai mengine ni vibao vya mwendokasi wa 50 katika maeneo ambayo hakuna nyumba wala makazi na kero ya utokaji Ubungo.

Alimshukuru Nditiye kwa kuwahidi kushughulikia kero hizo.

Chanzo: Mwananchi
Gest za karibu na stendi wamelipenda hili tamko..
 
Daa hiyo imekaa vema sana,Mwanza kutoboa itakuwa kwa mabasi mengi,na kamwendo waongeze basi iwe hata 90km/h.
 
Saa 11 kunakuwa kushakucha, sijui kwa nini wamekalili saa 12.
 
Tena kwa dar wangeanza saa 10 kabisa maana ubungo hadi mbezi tu ni lisaa kufika hivyo unakuwa bado upo sehemu salama tu, au mpaka ufike chalinze masaa 2 tayari saa 1 asubuhi.
 
Back
Top Bottom