Mabasi ya Mbeya yanakimbia sana

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Haya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano.

1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza.

2. Ukiwa Moro magari ya mbeya yafika mapema kutoka Dar

Je, watu wa huko ni wapenda speed? Au nini hasaa?
 
Yanakimbia kwa sababu ya ushindani wa magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…