Mabasi haya mnayakumbuka?

Air Msae iliuwa pale CHALINZE MZEE
 
1. KWACHA nimekumbuka warrant kwenda shule
2. Mwafrika nimekumbuka safari yangu ya kwanza kusafiri peke yangu
3. Railway nimekumbuka safari ya kishule toka Iringa kwenda Mazengo Dodoma
4. Kamata nimesafiri nayo sana toka Songea kwenda Dar
5. Binkleb Bus Service (BBS), Safari zangu za Songea Dar
6. Kiswele Songea Dar na wakiingia SOngea ile mihoni ya kushindana kati ya Kiswele na Zainabs
7. Scandinavia SOngea Dar, Dar Mbeya
8. Tawaqal Safari za Songea Dar, Iringa
9. Special Coach... Safari za Songea Dar
10. Ruvuma Line hata hakudumu wallah... alilipeleka basi kwa PARADISO kutambika lakini wapiii
 
Halafu Sharuks likimilikiwa na marehemu Rais wa Yanga, Mheshimiwa Abbas Gulamali lilikuwa na chata moja kali, eti, Jino moja mswaki wa nini? likichapa lapa dar/kilombero.
Dahhh, umenikumbusha mbaliii mzeee....likipita kilombero pale, utasikia horn ya kwanza ya pili niko Morogoro.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lupelo

Hekima

Tatfif

Umewaacha mkuu
 
Kiswele sinza kwa Remi. Nilikuwa na yakuta yamepaki nje kwake miaka hiyo sinza. Tajiri alikuwa mtu wa kusini kama sikosei.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Special Coach...tajiri hakufa kwa ukimwi kweli...dah kitambo sana kipindi hiko stendi mnazimmoja

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Sumry ni mbeya
 
Ambayo nimeyapanda. Ni superstar, siri yako, scandnavia, air msae.
 
-Usangi bus service,
-Fresh ya Shamba
-Born City
-Master city
-Mwendo wa saa

Germany voyage- Dar Mtwara
 
A.K. Nanji,MORETCO, CORETCO, TEETEKO, NYOTA.
 

Nyongeza kwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini

Lupelo Coach
Lupila Bus Service
Tweve Bus Service - bus la kwanza kuwa na mapazia Iringa
Mwangubi
Mbogo Maji
Usangu Bus
Ally Majani (hii ilikuwa Benz)
Hiyo Special coach au Bin Kleb ndiyo iliitwa supu ya mawe kama sijakosea sana

Onyo: usije ukawa umeleta uzi huu ili kuzima moto unaowaka ughaibuni
 
Mkuu kipindi hicho nakumbuka nilikua ipogolo full kuogelea darajani pale!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenichekesha eti Basi la Kwanza kua na mapazia iringa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…