Mabarmaid poneo la wengi

Mteremkoooo km una-slide kwny tiles zenye povu vileee...!
 
Hahahahah

Mkuu unanionea bure. Mabaamedi ni mapatna wangu kwenye mtungi tu na si vinginevyo. Labda itokee tu.

hahhahahahahahaha
mbona umeanza kujitetea kwani mimi nimesemaje mkuu wangu?
halafa huko kutokea ndo kupi huko na hutokea nini?
isijekuwa na huko bar ni muzee ya ukaguzi
 
Mkuu, kuna London Pub iliyopo Makuburi(karibu na Mkapa export zone) , na London bar iliyopo Ubungo maziwa..
Ni ipi uisemayo wewe?

tupe clarification bandugu
 
naona huyu jamaa wa london anabana ngoja tu nisogee italiano house
 

Nyie vijana mliojiunga JF mwaka jana, mnatusumbua sana. Sasa hapa ndio umeanzisha mada gani?
 
wapo royal njombe ubungo wale mabamedi watamu sana pia wanapunguza matumizi
 
hahhahahahahahaha
mbona umeanza kujitetea kwani mimi nimesemaje mkuu wangu?
halafa huko kutokea ndo kupi huko na hutokea nini?
isijekuwa na huko bar ni muzee ya ukaguzi
Unaniharibia move kwa wajukuu ujue....:redface::redface::redface:
 
naona huyu jamaa wa london anabana ngoja tu nisogee italiano house

London Bar iko Ubungo maziwa, mita chache kutoka stendi ya mkoa.. Ina guest house na bei ni nzuri.. (15k). Sometime utakuta bi dada kachukua chumba anakukaribisha ndani as if she was expecting you..
London Pub iko Makuburi, just some metres away from Benjamin Export zone... Iko fresh, wanaenda watu wenye hela zao, so sio crowded sana.. Bi dada wahapo wako poa as well...
Sasa ni wewe tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…