kampeni za mwaka huu zina mambo ....mabango mji mzima ........yaani nasikia yameagizwa canada kwa mamilion ya dola........kazi kwelikweli......hakuna hata moja la wapinzani...hapa kuna fair play kweli??
Kuna bango Moja la Mwalimu J. K. Nyerere (Tumuenzi Mwalimu Nyerere ) lipo pale Boma karibu na Mwalimu house limedondoka chini kwa uchakavu wameshindwa kulirudishia, ila ya Mkuu wa kaya mpaka miti inakatwa ili yaonekane.
Kweli nyie mnapesa nyingi saaana mpaka nchi inaendelea kwa kasi ya ajabu, kwanini hamtumii akili hiyo katika uzalishaji na kuiendeleza nchi!CHADEMA kukosa picha za kutosha na hata mabango ni suala lao,bajeti yao hairuhusu.
CCM kama chama kina miradi yake,ruzuku kubwa kuliko CHADEMA,UDP au APPT-Maendeleo.
Hivyo kuwa na mabango mengi maana yake bajeti inaruhusu na Chadema kutokuwa na mabango mengi maana yake bajeti yao finyu,inawatosha kununulia tu combat!.
Hivi mtu unaweza kupiga kura kwa kuangalia bango? Hata mashindano ya Ma miss yameishaacha upuuzi kuangalia wa sura za watu. Its the credibility which matters!
Kampeni za mwaka huu zina mambo ....mabango mji mzima ........yaani nasikia yameagizwa canada kwa mamilion ya dola........kazi kwelikweli......hakuna hata moja la wapinzani...hapa kuna fair play kweli??
JK ana sifa za kipekee sana....chache kati ya hizo ni kwamba, anajulikana, si Tanzania na Afrika tu, bali ni dunia nzima! Alikua rais wa kwanza wa Afrika kumtembelea Barack Obama, amekua mgombea wa CCM mwenye mvuto na aliyepata kura nyingi zaidi ktk kipindi hiki cha vyama vingi...amekua ni mtu wa watu, akikumbukwa enzi za uwaziri kwa kuhudhuria matamasha, mashindano ya walimbwende n.k bila kujibagua na watu wa kawaida...amemleta Maximo, Tz ikajulikana zaidi kwenye soka...amewapatanisha Raila na Kibaki nuru ikachanua Kenya..amepeleka jeshi Commoro amani ikapatikana...amefanya ziara wizara zooote alipopata urais, kitu mabacho hakijawahi kutokea kabla...ametuma mawaziri mikoani kusifia bajeti yake ya mwaka jana...amemteua Makamba, katibu mkuu wa aina yake ambaye utendaji wake katika chama ni wa kipekee kabisa..nikiendelea kuandika sifa zake hapa,hakika kurasa haitatosha.............SASA SWALI NI JE?????
>>KUNA HAJA YA KUWA NA MABANGO YOTE HAYA YA KAMPENI?????
Ni upuuzi tu, wangeweza kufanya mambo mengine kwa gharama hizo za mabango, lakini kama kawaida yao, ni KUFISADI tu kwa kwenda mbele 10% everywhere!!
What do you think about escrow saga?Kampeni za mwaka huu zina mambo ....mabango mji mzima ........yaani nasikia yameagizwa canada kwa mamilion ya dola........kazi kwelikweli......hakuna hata moja la wapinzani...hapa kuna fair play kweli??