Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
hahahahaaa! nilikuwa sijakupata mkuu....baby sitter indeed!Ukiona mtu anaomba urais kwa picha za 'kupakata' watoto....
hahahahaaa! nilikuwa sijakupata mkuu....baby sitter indeed!Ukiona mtu anaomba urais kwa picha za 'kupakata' watoto....
hahahahaaa! nilikuwa sijakupata mkuu....baby sitter indeed!
Halafu wakachukua na portrait yake ya zamani wakai-photoshop na kutundika barabarani....:confused2:
Nimefeli kuelewa kabisa....
Afadhali hata wangeonyesha "barabara,shule,zahanati" wanazojisifu nazo eti wamejenga...
Utadhani angombea u-maarafu kila mahala sura yake...
CHADEMA kukosa picha za kutosha na hata mabango ni suala lao,bajeti yao hairuhusu.
CCM kama chama kina miradi yake,ruzuku kubwa kuliko CHADEMA,UDP au APPT-Maendeleo.
Hivyo kuwa na mabango mengi maana yake bajeti inaruhusu na Chadema kutokuwa na mabango mengi maana yake bajeti yao finyu,inawatosha kununulia tu combat!.
yeah... na walivyofanya mwaka huu, yaani JK amekua kama sigara mpya au vodafastaWingi wa mabango mi kwagu sio ishu....tatizo langu ni contents za mabango yenyewe....sura, babysitting etc....
hahahahaaa! nilikuwa sijakupata mkuu....baby sitter indeed!
mabango ya Sura kwani we hujui kuwa ni handsome? Sura yake Inauzika bwana hatuna haja yakuandika tutakayoyafanya ila kutoa sura ya handsome wetu!